Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.

huwa siwezi kuiangalia avatar yako lakini kwenye hii post i am able to stand it......
 
Khaaaaa! yanakuwa hayo tena.Sasa hii si aina ya rushwa hii? bht hebu justification kidogo.Na ina maana humuamini shemeji B kiasi hik? Angekuwa kama my asali Xpin si ungepata presha wewe?
Hahahaha! Mimi joka la kibisa bana, meno yote wamening'oa sing'ati.

msemaji anataka kunifanya nihame mtandao biggy......
Ntafanya mpango awe MC kwenye send off party yako....... itasaidia kukupunguzia ma-stress.
 
At last now you are talking!Who knows?????!!! it might be you!
 
Hahahaha! Mimi joka la kibisa bana, meno yote wamening'oa sing'ati.

Ntafanya mpango awe MC kwenye send off party yako....... itasaidia kukupunguzia ma-stress.
Tatizo lipo hapoo.Nakaribia kutoa sredi ya msaada tutani hapa jf.Huwa hujui unaponiumiza moyo na hizo milazo.Na wakati unaponikuna pia huwa hujui.Nimebakia kama zoba zoba tu.
 
Hahahaha! Mimi joka la kibisa bana, meno yote wamening'oa sing'ati.

Ntafanya mpango awe MC kwenye send off party yako....... itasaidia kukupunguzia ma-stress.

Kamma umefikia huko haya sawa.............fahamu tu siku hiyo utajikuta wewe na ndugu zako mimi siji!!!
 
Hahahaha! Mimi joka la kibisa bana, meno yote wamening'oa sing'ati.

Ntafanya mpango awe MC kwenye send off party yako....... itasaidia kukupunguzia ma-stress.
Hii kwenye redi nilikuwa sijaiona.Kwani mamushka siku hizi una mastresi?Yanatoka wapi? umeambukizwa na nani? au bala....
 
At last now you are talking!Who knows?????!!! it might be you!

Sikuweza kusema chochote coz sikuwa na idea na nini kimezungumzwa sasa nimepata mwanga japo nimepita page zote kwa kasi lakini nimegundua seriousness katika maneno ya GS! Ila namuomba tu awe muangalifu maana Mendes hawakawii kutake advantages ha ha ha just kidding
 
Hii kwenye redi nilikuwa sijaiona.Kwani mamushka siku hizi una mastresi?Yanatoka wapi? umeambukizwa na nani? au bala....

hahaaaa mama mia nilikuw asijasoma mpaka mwisho kumbe lol!!

dadushka mie sina stress bana huyu biggy naona zile hangover bado zinamsumbua
 
Lol! afadhali,kwani nilishaanza kupata na wasiwasi.Maana siku hizi kampani zako...............
 
hhaaaaaaa yaani mume wangu una mashaka anaweza nipa ugonjwa wa moyo eeeh.....bado sana mamii!!

kesho tunaenda mbio za mbuzi au sio????
 
wala simsemei Balantanda shemeji yangu wa ukweli.I know you know woram seyingi.
Unajua kusoma katikati ya mistari,donchyuuu?
 
hasikiki huyo shemeji yako siku hizi........excuses nyiiiiiiiiiiiiiingi sijui ndi huyu GS, we ngoja arudi hapa!!!

mi nakuelewa vizuri sana...............na wewe elewa hicho nisemacho!!!
 
nimekuelewa mamaaa.ngoja nianze wikienda sahizi,nisije zeeka bure na mastresi ya kwa kazi........
 
samahani kama nimewakwaza: Hivi Da Sophy yuko wapi?
 
nimekuelewa mamaaa.ngoja nianze wikienda sahizi,nisije zeeka bure na mastresi ya kwa kazi........
haya tutakutana kesho KENYATTA kwenye mbio za mbuzi basi............
 
Jamani hivi ametajwa apendwaye humu? Maana uzi umekuwa mrefu sana siwezianza mwanzo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…