Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
- Thread starter
-
- #421
haki ya nani vile!!umenigusa sana aisee
omba msaada basi GS
Ha ha ha!sio ndio nimeomba au unataka nimwage kuku kwenye mchele wengi?
umekuja kuw abingwa wa rivasi sio....
hebu uniambie kule kwenye chat ni nani huyo nianze mchakato basi
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!Halo halooo,yaani ujasiri wote nilionao mpaka nikafikia kusema in public na kujiweka mimi mwenyewe kwenye wakati mgumu kwani najua nimejizibia sana kupitia sredi hii,ni wengi wanaotamani kuwa nami,lakini nimetoka hadharani kwamba nampenda huyu jamaa,leo kweli nishindwe kumwambia,hiyo haiwezekani bht..Wala sikuambii,nitajitahidi mwenyewe ndio nimweleze,si unajua tena mambo ya third party ukinigeuzia kibao je?mi nitakuamni vipi?ha ha ha!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!
yaani umenichekesha ile mbaya!!! u hv made my friday GS!!!
the fact is me sikuwadii mtu bana..................hii geresha tu!!!! kwani mwenye macho huambiwa tazama au mwenye njaa kula???
Hahahahahha ama kweli mwamba ngoma............. Babu sikuwezi yaani I cant you kabisaKajukuu usijali, ushapata bibi wa pili.
Nadhani nimeeleweka hapo............
Hahahahahha ama kweli mwamba ngoma............. Babu sikuwezi yaani I cant you kabisa
Hiyo huwa inatokea japo kwako me sijaelewa umevutiwa na nini toka kwake? Maana sauti yake huijui wala picha yake huifahamu. Mimi mwenyewe nimetokea kumpenda m2 nisiyemjua japo ipo tofauti kidogo na wewe me picha yake naifahamu sauti yake naifahamu yeye yupo singida me nipo malawi ila sijawahi mwona live ila nampenda sana tulikutana nae kwenye chat ya nimbuzz
Ha ha ha!Bala hajiniona tayari kanizimikia akinione je,si........Unafikiri manjonjo ni hoja?Jitahidi kukuzana ukifanya mchezo....
Balantanda nakuona kwa mbali kwenye sredi hii.Una hoja zako za kujibu humu...bht kakupa rungu la.......soma huko between lines utaelewa..
Kauli zako za jana zimeifanya ndoa yangu ipate doa.........iko mahututi kwa kweli....Hakujalalika jana na kila kitu kimeenda mrama................
hahahaha ndio nimemwambia na tumekubaliana kila ki2 saiz ni wapenzi japo hatujuani na yeye anasema ananipendaOoh kumbe tuko wengi eeh..Ukitafakari kwa makini utaelewa vizuri kwanini nampenda huyu jamaa.Hongera kwa kumpenda huyo wa kwako..Umeshamwambia?
Kazi ipo.Lakini mwambie ukweli japokuwa ni ngumu kiasi.Ila sijajua kama umemuona/umekutana nae wapi.Ni hapa JF au huwa unamuona kwenye TV(CNN,BBC)?
Babu ulikuwa sahihi kabisa, kiukweli kwangu moshi unafuka sasa na huyu GS ndo chanzo!!!niliwaonya mapema mkadhania nawatania..
Kauli zako za jana zimeifanya ndoa yangu ipate doa.........iko mahututi kwa kweli....Hakujalalika jana na kila kitu kimeenda mrama................