Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
- Thread starter
- #421
haki ya nani vile!!umenigusa sana aisee
Pole kumbe na wewe...nafurahi kusikia kuwa tuko wengi..Mwenzio naogopa hata kumuanza jamaa..Niliambiwa niazne kwanza kwa kumsalimia halfu baadye ndio nimwambie..Napatwa na kigugumizi cha kuandika miye,,sijui nifanyeje!