Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
1.Usiwe na haraka,kumbuka haraka haraka haina mbaraka.
2.Kama ni mzungu mweleze moja kwa moja UMEMPENDA.
3.Kama ni mbongo,mnawasiliana nae kwa kiswahili,jishaue kidogo kwanza,usimweleze,atakudengulia,ukimpeperusha njiwa,akiruka humpati tena.
4.Kazi kubwa ya kufanya ni kujilengesha kwake.SIJUI NAELEWEKA?
5.Kumbuka time is money wawezajuta baadae kwanini hukufanya timiming.
6.Weka mitego aweza nasa kati ya mtego wako mmoja.
7.Nakupongeza sana kwa kujaribu kupata unachokipenda,wanawake wengi isipokuwa wa humu JF amini usiamini wana watu ambao hawawapendi,.
8.Katika mapenzi ya kudumu,kinachodumu ni tabia ya mtu.sura,umbo vyote hivyo ni vya muda tu vinapita,ukipenda sura halafu aje agongwe na gari utampa taraka?.Kinachodumu ni tabia yake,hiyo utaishi nayo milele.Utagundua kuwa ulichompendea ni tabia zake kwa jinsi anavyojieleza.
9.Mambo mengine kwetu huwa magumu lakini mepesi sana kwa Mungu.Mwombe mungu utashangaa siku si nyingi yupo kifuani mwako.Ili
mradi tu uwe na nia njema.Ikishindikana ujue Mungu hakupenda na huenda huyo mtu angekuletea maafa maishani.
10.Wasiliana nae kila siku huku ukiomba samahani kwa vile kama ana kazi nyingi,unaweza ukawa unamkera.
11.Msome interest zake ninini na wewe kuanzia leo hamia kwenye interest hizohizo za kwake, eeeeh unashangaa nini sasa?
12.Kila siku pata angalau detail yake moja muhimu,kwa kumuuliza kiindirect paipokujua nia ya swali lako.ASIPO JIBU,JIBU UNALO.
13.Kumbuka kuwa sisi wanaume tuna roho nzuri,hawezi kukuletdown
14.Hiyo ndio raha ya mapenzi,upate ukitakacho ebo.NAKUTAKIA MAFANIKIO MEMA.
YAPO MAMBO MENGI,NIWAACHIE WENZANGU WAENDELEE.
 
hivyo ndivyo wifi zenu wanajisikia hapa!!

dah I can imagine!!!! yaani hii hivi nasikia mume wangu amedondokewa hapa hapa......mmh!!!


basi wifi pole mi sirudii tena kuhisi ni MMK ndo kaangukiwa!!
 
Acha Ujinga wewe

Mapenzi Ya Internet au Kama wasemavyo watoto wa siku Mapenzi ya Dotcom, mpaenzi ya Facebook,......fanya kazi acha upuuzi huo:brick:

Inawezekana wewe ndo ukawa mjinga/mpuuzi.............mapenzi popote bana............Samahani kama nimekukwaza
 


unaruka mita 100 hahaha
 
Kila lakheri GS!


Ufuate mtim wako; Ila tumia hekima uliyopewa na Mungu!
 
Kama ni bahati ya mchumba itakuja! Mapenzi ya kwenye blog yatakucost. Kwa nini ujitese na kitu ambacho kwako ni giza?
 
bestlady nilijua hapa kuna kutoana roho mchana kweupeeeeee

mimi staki tena kumtaja mtu hapa maana umenipa kihoro kisha nikafirkiria na huyo wa MMK anajisikiaje tunavomtaja barafu wake wa moyo hapa....!!!!?
 

hivo mwanakijiji, kama just in case its you ambaye GS kazimika, atakuwa anajisikiaje kwa maelezo yako hapo juu? Just curious maana rejection inatisha hasa unapokuwa umeanzisha mwanamke, lol.
 
Kama ni bahati ya mchumba itakuja! Mapenzi ya kwenye blog yatakucost. Kwa nini ujitese na kitu ambacho kwako ni giza?
they say sometimes its ok to dream....or.............to fantasize
 
huyo mtu wa GS huwa haingii jukwaa la mapenzi ndo maana GS hajaona tabu kuja hapa kuyamwaga 😀

huyo mtu ni siasa tu au uchumi .....taratraraaa
 
by the way GS are you single or married?
 
For a start, naanza kuchambua ile hotuba ya mbayuwayu na woopecker....then nafanya mipango ya kwenda kubeba maboksi.
Hopefully GS ataniona!! But mama nanhii nae ana wivu balaa!
 
I love u too!!!

I love you three!!

Nimeamuwa kuandika hivi maana sijawai pendwa humu JF tangia mwaka 2008 nimejiunga. Ama kwasababu sina point za kuchangia? Kila mtu anawake humu, jamani na sisi tupendwe hata kwa masaa....Nakuomba bht tuwe wawili, otherwise humu ndani kwanini sijapata wa kunipenda

GS kama ningekuwa mimi nimempenda msichana, of course mimi ni mwanaume, no matter yupo wapi NAMUELEZA kuwa kutokana na A,B,C,...Z please nimekupenda sana, ukinikataa basi
 
wana wee
Wewe......shemeji yako huyo ebo.............Mke wangu huyo(unajifanya hujui eeeeeeeeeeeh)!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…