Nimempenda Mtu Nisiyemfahamu-Sijawahi Kumuona

Status
Not open for further replies.
wana wee

Wewe......shemeji yako huyo ebo.............Mke wangu huyo(unajifanya hujui eeeeeeeeeeeh)!!!!!!!

Kwani mimi nitakuwa wa kwanza kuwa na shemeji yangu? bht japo nipate neno tamu kutoka kwako kuwa umekubali leo niwe na wewe japo kwa masaa mawili, nami humu niweke kajihistoria kuwa JF nilipendwa, temporarily, na bht.......
 
shem what is not happening??

hahaaaaaaaaaaa lol!!! kumekucha shem leo duh!!! sijawhi kusikia hii!!!
 
GS - unasema jinsia haijalishi?? kwa hiyo kama ww ni dume basi huyo unaempenda akiwa dume kwako sawa tu au?
 
Kwani mimi nitakuwa wa kwanza kuwa na shemeji yangu? bht japo nipate neno tamu kutoka kwako kuwa umekubali leo niwe na wewe japo kwa masaa mawili, nami humu niweke kajihistoria kuwa JF nilipendwa, temporarily, na bht.......

Mmhhhhhhhhhhhhhhhhhh.....................Makubwa!!!!!!!!
 
heheheeee!! ooohh!! watu wanajua kumwaga sera hazarani!! mfano mzuri kwa GS.

hahaaaaaaaaaa leo sijui GS anaikampenia wapi CHADEMA aje hapa ajibu maswali yake
 
heheheeee!! ooohh!! watu wanajua kumwaga sera hazarani!! mfano mzuri kwa GS.
Mkuu kukatariwa na bht ndio kamwaga sera? Mkuu Bigirita, jaribu kuandika kitu ambacho bht ataweza kunipenda, kama wewe ni moja ya wana JF wenye kushawishi, help me for temporary love from bht.......nahisi nampenda bht ingawa simfahamu, haya mambo ya kusomaga posts za mtu mmoja zinaweza kukufanya uwe kama GS.......

Mkuu Bigirita, nauhakika 100% GS hakumanisha mimi, kwanza inawezekana leo nsio kaona post zangu humu kwenye thread yake, so I am out of sample space.

Nachomshauri GS ni kumueleza huyo mtu, asije akakaa kimya for long time, kumbe huyo mtu yupo single, anatafuta mchumba

go GS gooooooooooooooooooooooooooo!
 
Mmhhhhhhhhhhhhhhhhhh.....................Makubwa!!!!!!!!
Kama bht angekuwa ni kitu cha kuuzwa (mf gari, nyumba, mafuta etc) basi leo ningepanda dau, nakuhakikishia Balantanda hata Bilioni ningekupa......I love her posts, maana sehemu ya kuwa serious anakuwa serious na sehemu pa utani anaweka utani...to me, i think she is flexible-----hao mkuu ndio wa kuwa nao....nawatakia ndoa njema........hope nami nitampata mwana JF as soon as I start visiting it mara kwa mara..........congratulations to Balantanda

hapa sasa ni kukaa pembeni na kuangalia hii mechi...huyu striker anaonekana matata
 
shem baba mkubwa umekunywa chai leo?
Sijanywa shem, nasubilia useme kuanzia saa X mpaka saa Y tarehe A mwezi wa B utakuwa na mimi. Y-X (the difference of Y and X) can be greater or equal to 0.5 hrs. A and B can take any values, nitaendelea kusubilia.

Mkuu Balantanda yeye amekunywa chai tena kashiba kweli
Natumaini wewe hujanywa, unafikilia what is Y and what is X...
 
hapa sasa ni kukaa pembeni na kuangalia hii mechi...huyu striker anaonekana matata
Nilidhani kwa kuwa bht ni rafiki yako, basi utanisaidia...ama kweli mtegemea cha nduguye hufa masikini...
 
B hatoki nyumbani bila kula bfast nlomuandalia shem.......si unajua saa hizi tena lazima mtu ushtue kidogo???
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…