Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje


well said ma brothre platozoom
 
Last edited by a moderator:
Mkamate. Yaani mfelishe, hafu Utajua cha kufanya.
 
Wasichana mwl akikuambia anakupenda unajua tu anakutaka kimapenzi. u have to be wise. nina rafiki wameolewa na walimu tena wengi cjui how they come across .kama kweli una nia ya dhati usisubiri amalize just get to know her kupitia mwanaume wa darasani kwake anaweza kukuambia kitu ukapata pa kuanzia.au show her by action najua huwezi shindwa uone respond nakutahadharisha usiingie mzimamzima unaweza juta labda ukute ni walewale
 
Mfanye monitress wa somo lako, so notice zote na communication ndogondogo za darasa zipitie kwake.
Hii mbinu huwa inalipa
kweli
hahahahaaaaa,,,,wewe ni mwalimu????hii mbinu naipenda n huwa naitumia
 
mh hiyo mbinu

mbinu ya kongosho ni nzuri sana,,,nami naisapoti as Mwalim,huyu bint mtengenezee maringira awe mwakilishi wa darasa kwa somo lako,hata kama darasa lina mwakilishi,,,,huyo binti uwe unampa notes ili azigawe darasan,assignment za darasan,pia uwe unajaribu kuongea naye mawil matatu kwa muda huo ambao utakua unamweka karibu yako,kwakua utakua una-keep in touch with her basi utaweza kumuweka kwenye hali ya yeye kuwa karibu na wewe,
 

kwenye blue hapo,inaweza ikawa chachu ya huyo binti kufanya vizuri mdau,,,,,
kwenye red,ni kwamba NGOJANGOJA..........
ILA KWENYE GREEN PIA UMETOA WAZO ZURI SANA,NAKUUNGA MKONO AS MWALIMU
 
 

as a man naamini tindikalikali analijua hilo,,,,,maana unaweza ukashindwa kuingia darasan,,,,,,pia hata bint anaweza akakataa kwakua ataonekana na wenzie kuwa amejirahisisha kwa mwalim,,,,,
 
Omba kipindi cha hesabu ufundishe hapo tayari, doom zito Hilo, mi Mingine bwana, unajua heading ya post yako kwa namba ingine inasomeka "nifundisheni kutongoza' what a shame?


 

lakini Bajabiri, mimi kama mwl wa kike na pia kama mwanafunzi niliyewah kupitia maisha ya chuo,mbinu ya Kongosho ni nzuri tu endapo binti mwenyewe atakubali hiyo task ya kuja kuchuka notsi. kinyume na hapo watamgeuza kaka poa. nakumbuka sana wakati niko hapo chuoni miaka hiyo kuna binti ofcourse wapo wengi walioolewa na waalim wao ila kuna binti ambaye tayari alikuwa na mchumba na mchumba alikuwa mtu ambaye wanamalengo tayari. Dr alipotumia hii mbinu binti alikwenda kuchukua notis mara 3 hivi. Baadae sijui ilikuwaje ticha akamuuliza tu wewe watokea mkoa gani just imagine binti aka muuliza kwani wewe watakakujua ili nini? mwl akakosa konfo manake binti alikuwa na uso wa kazi hapo hapo biasness kati ya deeenti na ticha ikaanza to me niliiona kama njia ambayo wapaswa kuitumia pale tu unapokuwa na uhakika kuwa ataingia kingi.

ishu hapa atafute contacts zake amzukie wakiwa likizo waongee huko na kumalizana na akirudi chuo nidham iwepo ili binti asije akaambiwa kapata maksi za chupi
 
Last edited by a moderator:
du! matuita nimewasoma, yaani mademu wote class ni wenu! kazi yenu sasa ni kushirikishana mitego ya kuwapata KWA KUTUMIA KAZI YA UCHUNGAJI MLIOPATA. Tindikali usikubali fuata ethics za kazi, mfundishe vizuri akimaliza anza kurusha kete.
 
nisamehe kama nitakuuzi !" kumbe elim sio kwenda shule tena eti wee ni mwalim wa biashara dah nasikitika sana. wee sii unafundisha jinsi ya kumpokea mtu na apate huduma.?? nahisi hujuwi unataka nini.! cku ukijuwa utasema"mwanamme hateteleki ukiteteleka wee feki" kwa sababu unachotaka hakihusiani kabisa na unacho hofia. toa hisia za woga na mwambie kama umedata nae.
 
au kaka hako ndiko katabia kako ushazimikia 10 hapo na huyo wa11 ndio maana unashindwa vip umvae??? na unataka mbinu mpya??? ila kama huyo ni 1 nakushauri kuwa mjasili pigania unacho kiamini na usifiche hisia zako kwa unacho kipenda. na useme kwake nini unamtakia hakuna asio penda kusikia neno nakupenda uwe mke mtarajiwa au mme mtarajiwa. nakutakia siku njema.
 

unawezaje kifundisha ikiwa uwezo wako ni mdogo kiasi hicho?
 

Safi sana Kongosho kama ulikuwa mawazoni kwangu
 
Last edited by a moderator:
Tindikalikali,,,baada ya swaum anza mchakato bhana wewe ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…