gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Hapo juu gfsonwin amekushauri vizuri sana.........Kwanza nimeshangaa sana navyoelewa ma-tutor plus lectures (wa kiume) kutembea na wanafunzi wao ni jambo la kawaida sana zama hizi...hawahitaji kujishauri, na wengi sana (nina hakika na hilo) wana uhusiano na zaidi ya mwanafunzi mmoja na wanagawa maksi kama hawana akili nzuri, ndio maana nakuona kama mtu tofauti.
Kuna naowafahamu wana network yao, demu akiwakataa ajiandae na sup otherwise awe kichwa kweli. Muhimu hakikisha amepita semister hiyo ndipo ujimwage........na ujue hakuna siri lazima atawaambia rafiki zake (iwe amekubali au kukataa)....Na pindi akiwa na wewe usije kushangaa hajisomei anasubiri maksi za bwerere na pengine na rafiki zake atawaombea kwa "mwalimu mwema" awasaidie!!!
Take care!
well said ma brothre platozoom
Last edited by a moderator: