Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje

Nimempenda mwanafunzi wangu......nifanyeje

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
mimi ni mwalimu wa chuo cha biashara hapa DSM.
Mwanzoni nilidhani ni tamaa za kiume tu...lakini kadri muda ulivyokwenda nilihisi nampenda....

Siku baada ya siku huyu mtoto anazidi kuiteka akili yangu...lengo ni kufanya naye maisha Mungu akijalia.

Kinachonitatiza ni jinsi ya kumuingia...nahofia anaweza kufikiri natumia ualimu wangu kutaka kumpata.
wakuu naombeni mbinu ya kumfikishia haya ya moyoni mwangu

UPDATE...
Wakuu nashukuru kwa ushauri mlionipa, nimefanikiwa kujenga naye ukaribu na tunashare mambo mengi kwa sasa.
Kawa muwazi sana kwangu tofauti na matarajio yangu...
Tuzidi kuombeana, ili tufike kule kunakotakikana kufika.
 
acha sanaa sasa unataka tukakusaidie kutongoza au unatakaje
maana hapo mi navyoona ni ishu tu ya kuchanika ukasomeka
mambo yakaenda
 
Ulivosign mkataba wa kua mwalimu ulikubali kama mwalimu huruhisiwi kua na rshp na wanafunzi wako kwa hiyo kwa kufanya hivo una breach terms za contract yako so i wudnt advise u to do that... Itakukost tu
 
Labda kama ni mtoto mdogo asiye na ufahamu..lakini kama ni mwanachuo mbona easy!!
Kikubwa jiweke kwenye mazingira yanayoashiria kuwa unamhitaji as 'mke' na sio 'demu wa kuzugia'..Almradi na yeye ni msomi atakusoma ujio wako..yaani kitakachokuokoa ni UKWELI wako tu!!!
 
Isijekuwa we kibabu alafu unamtaka mwanafunzi wako ambae ni sawa na mwanao!!
manaake vimwalimu vingine......mmmmmh
 
mwaga sera tu, mengine ni matokeo; ila usitumie ualimu wako kama leverage haramu ya kumweka under pressure ili akukubali
 
mwaga sera tu, mengine ni matokeo; ila usitumie ualimu wako kama leverage haramu ya kumweka under pressure ili akukubali

mkuu umeongea jambo la msingi, hicho ndicho ninachojaribu kukikwepa
 
tupa ndoano yako ila muwe marafiki tu, akimaliza chuo weka kitu ndani...utakua hujavunja sheria yoyote.
 
Mfanye monitress wa somo lako, so notice zote na communication ndogondogo za darasa zipitie kwake.
Hii mbinu huwa inalipa kweli
 
heh...!!

Ivo kumbe.....we jipange vizuri tu and just be sincere to her atakuelewa tu kama hana kipingamizi!

Unajua Kipipi wasiwasi wangu unakuja pale atakapokataliwa na kuambiwa waziwazi kuwa BF wake yupo hapo hapo chuoni na wapo class moja
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mngoje amalize umwambie..bt kip her closer...au ndo fresher kabisa??!
 
Unajua Kipipi wasiwasi wangu unakuja pale atakapokataliwa na kuambiwa waziwazi kuwa BF wake yupo hapo hapo chuoni na wapo class moja

mkuu hilo nalo neno, kazi inataka moyo hii
 
Last edited by a moderator:
Kama unampenda mpe degree ya kitanda!
 
Unajua Kipipi wasiwasi wangu unakuja pale atakapokataliwa na kuambiwa waziwazi kuwa BF wake yupo hapo hapo chuoni na wapo class moja

Nilitaka kusema hilo hilo! kweli sipati picha atakapokukatalia............... usipokuwa na roho ngumu unaweza usiingie tena darasa hilo kufundisha aisee!
 
Back
Top Bottom