Nimempiga mimba mke wa Mtu

Shame on you. Ulikuwa unatafuta nini kwa mke wa mtu?
Unaona furaha gani kuvunja ndo ya mtu?
 
DNA ndio itaprove kuwa mtoto ni wako, au kama anajijua kuwa ana tatizo la uzazi
 
Ila uwezo wa kunipeleka mahakamani anao au hana..?

Kitanda hakizai haramu. Huyo mtoto akizaliwa kisheria ni wa mumewe. Jiandae kwa visasi tu kortini hawezi kukupeleka.
 
Mkuu jiandaa kuwekwa sindano nyuma kama kulipa kisasi kwa ulichokifanya kwa huyo mtu.
 
Kitanda hakizai haramu. Huyo mtoto akizaliwa kisheria ni wa mumewe. Jiandae kwa visasi tu kortini hawezi kukupeleka.

Nitakuwa navaa ngozi ndani ya nguo ili hata akipiga mshale usitoboe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…