The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Mumewe alikuwa shule kama miezi mi3 hivi hawajakutana..na sikuwa nafahamu kama ye ni mke wa mtu
Kama ulikuwa hujui kuwa ni mke wake nani alikwambia kuwa yupo shule, tena kwa miezi mitatu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumewe alikuwa shule kama miezi mi3 hivi hawajakutana..na sikuwa nafahamu kama ye ni mke wa mtu
Ila uwezo wa kunipeleka mahakamani anao au hana..?
Hizi thread za namna hii zinaendelea kuishushia hadhi JF. Hebu mtu mwenye akili zake anaweza kuja kutangaza ujinga alioufanya kwenye mitandao. Halafu kama mtoto hajazaliwa na mumewe hakuwa safari ni kitu gani kinakuaminisha kwamba wewe ndie uliyempa mimba huyo mwanamke!!!!!
Hebu punguzeni utoto bwana.
Tiba
Sikia hii halafu jicheki uko salama? kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwambia mkewe akakataa akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwsho babaake akamwambia basi ntakusaidia. itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu! basi kjana kajifanya anaumwa mzee akaitsha kikao cha ndugu wote pande 2, mzee akaanza kueleza jaman kjana wetu anaumwa amepata ugonjwa wa utata hosptal zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga wa jadi amenipa dawa na ina mashart inatakiwa atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu alipoolewa ndo kijana wetu atapona, kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote! Je kina mama nani ataandaa? walitoka nje wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake mzazi wakatoka akafata mama ake kijana, mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia wanaume peke yao! mzee akamwambia mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo? acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani umejionea hali halisi. Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako! kijana akabaki na mshangao pale kwenye mkeka alipokua amelala!
acha roho mbaya
Mkuu jiandaa kuwekwa sindano nyuma kama kulipa kisasi kwa ulichokifanya kwa huyo mtu.