Nimempiga mimba mke wa Mtu

Kukushtaki kakuhurumia angekukill iwe fundisho na kwa wengine
 
Sikia hii halafu jicheki uko salama? kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwambia mkewe akakataa akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwsho babaake akamwambia basi ntakusaidia. itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu! basi kjana kajifanya anaumwa mzee akaitsha kikao cha ndugu wote pande 2, mzee akaanza kueleza jaman kjana wetu anaumwa amepata ugonjwa wa utata hosptal zote umeshindikana hivyo tumeenda kwa mganga wa jadi amenipa dawa na ina mashart inatakiwa atakaye iandaa hii dawa awe mwanamke mwenye ndoa ambaye hajawah kutoka nje ya ndoa tangu alipoolewa ndo kijana wetu atapona, kama ametoka nje ya ndoa asiandae dawa hii kwa sababu tukimpa kjana wetu watakufa wote! Je kina mama nani ataandaa? walitoka nje wamama mmoja mmoja hadi mkewe na mamake mzazi wakatoka akafata mama ake kijana, mashangazi na dada zake, mwisho wakabakia wanaume peke yao! mzee akamwambia mwanangu umeona hali za ndoa zilivyo? acha kujisumbua tulia na mkeo nadhani umejionea hali halisi. Cha zaidi omba Mungu sana juu ya ndoa yako! kijana akabaki na mshangao pale kwenye mkeka alipokua amelala!
 

Punguza jazba mkuu, mumewe alikuwa shule kwa kipindi cha miezi mi3
 

Duh aisee kweli ndoa ina mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…