Nimempiga paka kwa hasira nimemuumiza, i feel Guilt

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa nomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile lipaka linajikuta kama lenyewe ndiyo linamiki nyumba. Linaingia kila chumba linachotaka na ukitaka kulitoa linahisi mnataka kucheza nalo linaanza kukurukia mkononi au kujizungusha miguuni mwako.Kiufupi haliogopi watu kabisa, it bothers me.
 
Watu tunaumiza vichwa juu ya corona we unaleta simanzi la kumpiga paka!!!,hii inji inakosa watu makini

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Mchukue ,mnunulie maziwa lita mbili, alafu kaa kwenye kochi mweke mapajani mchezee manyoya basi mtakuwa marafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekan una uzoefu
Mkuu Sorry What to do ikiwa unafuga Paka ambae hujisaidia ndani, not always Lakini huwa ana hiyo tabia [emoji2]
 
Inaonekan una uzoefu
Mkuu Sorry What to do ikiwa unafuga Paka ambae hujisaidia ndani, not always Lakini huwa ana hiyo tabia [emoji2]
Dawa yake ni kumpiga kabla hajatoka eneo alilojisaidia unampiga haswa one kick hatarudia.
Ila usimchukie mpige then endelea kumpenda maana ukimchukia atakuogopa na atakuwa mwizi automatically.
.
Pia hakikisheni mnapotoka ndani alipo yeye mnaacha mlango wazi yani awe free akitaka kutoka nje anatoka akitaka kulala analala na mengineyo, Nyau wengi wanajisaidia ndani kwa sababu unakuta kabanwa haja na hawezi kutoka nje anaamua kutafuta faragha.
.
Note; fanya ufanyavyo umlie timing pale anapojisaidia ndo umdunde atagundua kosa lake they're very smart hatarudia don't forget to love he/she more.
 
Cha kufanya ili kumuomba msamaha huyo Paka ni
Mnunulie chakula anachokipenda tena kwa wingi ikiwezekana awe anakula hadi anasaza, ndani ya wiki tu atakuelewa kuwa unamuomba msamaha then atakusamehe!
I talk cats language [emoji23][emoji23]Nyauuuh![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"Fα΅’Λ‘Λ‘α΅’Κ· α΅‰Λ£αΆœα΅‰Λ‘Λ‘α΅‰βΏαΆœα΅‰ Λ’α΅˜αΆœαΆœα΅‰Λ’Λ’ ʷⁱˑˑ αΆœΚ°α΅ƒΛ’α΅‰ ᡖᡃⁿᡗ˒ α΅ˆα΅’Κ·N"
 
Issues sio kuzaa tu.. Anazaa mnoo.. Ntalea matoto mengi yanakuwa kero..
Bado tu anagegedwa akat katoka kuzaa juzi tu..
Kuna kidume kilimfata juzi nikakitimua..

Mhh mi nahisi ni hao mapaka Dume ndo wanamsumbua. Yy si binadamu kwamba atakimbilia polisi kushtaki anabakwa. Sisi tulikua na paka wakike na wakiume, kutwa mipaka tusioijua inakuja home usiku wanagombana weee na wanampiga yule Paka wakiume, na huyu Paka wakike kutwa wanamzalisha maskin alidhoofu sana mpaka akafa 😒 alibebeshwa sana mimba na alikua mdogo sana Dah.
 
shit kwanzia sasa haya madume dawa yao inachemka... 😣😣😣
 
hii ingekuwa movie ingeuza sana so sad
 
Aisee wabheja Sana Nitamdunda pigo moja Hata sahau [emoji16][emoji16]
 
Inaonekan una uzoefu
Mkuu Sorry What to do ikiwa unafuga Paka ambae hujisaidia ndani, not always Lakini huwa ana hiyo tabia [emoji2]

Mtafutie kijisehemu jaza mchanga.
Au pasua dumu kwa mlazo half to half.
Jaza mchanga weka mahali pa faragha hata km ni ndani atajisaidia hapo na kufukia uchafu wake.
Jenga mazoea ya kutoka nae nje,huko atatafuta mwenyewe mahali pa nnya.
Hasa wakati amalizapo kula baada ya robo saa toka nae nje.
Ukiona viashiaria vya kujisaidia haraka fungua mlango umuite / umfukuze aende nje fanya km unamtengea msosi huko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…