MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Lile lipaka linajikuta kama lenyewe ndiyo linamiki nyumba. Linaingia kila chumba linachotaka na ukitaka kulitoa linahisi mnataka kucheza nalo linaanza kukurukia mkononi au kujizungusha miguuni mwako.Kiufupi haliogopi watu kabisa, it bothers me.