Nimempiga paka kwa hasira nimemuumiza, i feel Guilt

Paka wako na tabia za slay queens. mashauzi kibao na kujiona wao wa maana sana pumbavu zao. analala kwenye kochi then anakuangalia kwa dharau as if wewe ndio paka, kumbe paka ni yeye!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
 
[emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Mimi Nilikuwa nao wawili wakawa hawakamati panya wanasubiri wakiskia kale kamlio ka kuwasha jiko la gesi wanajua msosi huo wanafoka upike chap, kujisaidia ndani kama mashindano vile daaaah

Niliwafanyia mchezo fulani mmoja kakimbia mazima,mwingine anakamata panya kimtindo anajifunza mdogo mdogo
 
Kuna siku nilimpiga paka mpaka akakimbia siku mbili haonekani, baada ya kurudi akawa muoga.

Nilijitahidi sana kuwa nae karibu mpaka akasahau akawa rafiki tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nunuwa SAMAKI wa kukaanga FUNGU 3 NA MAZIWA PAKITI 3 MPE....hakika akikuona tena ATAKUTINGISHIA MKIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani sijapata Msaada mpka saa.
Wala Hakuna mtu aliekuja kilichukua ili linyau Malaya utazan mashindano.
Licha ya kuniletea matoto nyomi kama team ya mpira na mm kuyagawa bado linafnya umalaya..!
Sasa hivi usiku kibarazani limevifata vidume viko vinne.. Vinasubir mzigo.. Yaan anapigwa mtungo..! Nmechoka nmevitimua hivyo bado vimerudi..!

Anaemtaka huyu Dada nyau Malaya, mdangaji aje amchukue.. 😢😢
 
[emoji23]
 


🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha aisee.
 
Inaonekan una uzoefu
Mkuu Sorry What to do ikiwa unafuga Paka ambae hujisaidia ndani, not always Lakini huwa ana hiyo tabia [emoji2]

Wakwangu nimemuwekea box lenye mchanga,na kazoea tyr.cha muhimu usafi wako.kila baad ya muda fulan badilisha mchanga asione kero kama litajaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…