Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Mnamala maana ya hayo maneno ni "Ahsante mtoto wa Mungu"[emoji38][emoji38][emoji38]wrong way Mkuu
Mimi Sio Msukuma Hii namba inasoma Tanga Mkuu
Mnamala au Nahmala ni kama Mjomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamala maana ya hayo maneno ni "Ahsante mtoto wa Mungu"[emoji38][emoji38][emoji38]wrong way Mkuu
Mimi Sio Msukuma Hii namba inasoma Tanga Mkuu
nice cat bossView attachment 1426509Wanasahau mapema!
[emoji23][emoji23][emoji23]AiseeeIla paka ni wanyama wenye kiburi sana, nyumbani kwa wazazi wangu kuna lipaka hilo yani halina adabu kabisa. Likiona umekaa kwenye kiti ambacho anakaa mzee wangu linakuja linaanza kukusukuma sukuma hivi ili utoke.
Mara nyingine likikuta kiti kiko wazi ndiyo linalala lenyewe na kujitanua utadhani nyumba ni yake. Hapo bado halijaanza kuunguruma kama jenereta. Basi mzee wangu ndiyo analikubali kweli lile lipaka.
Binafsi sijawahi kuyaelewa mapaka kwa ujumla.
Wewe hilo lako lipe tu chakula litasahau..
[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mnazinguaJamani paka wangu namgawa..
Kazidi umalaya mpaka saa Sasa Nina vitoto nane...! nilishagawa vitatu...
Lakini bado vidume vinamzengea nifanyaje??
[emoji2] [emoji2] [emoji1]Cha kufanya ili kumuomba msamaha huyo Paka ni
Mnunulie chakula anachokipenda tena kwa wingi ikiwezekana awe anakula hadi anasaza, ndani ya wiki tu atakuelewa kuwa unamuomba msamaha then atakusamehe!
I talk cats language [emoji23][emoji23]Nyauuuh![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Ha ha ha!!Issues sio kuzaa tu.. Anazaa mnoo.. Ntalea matoto mengi yanakuwa kero..
Bado tu anagegedwa akat katoka kuzaa juzi tu..
Kuna kidume kilimfata juzi nikakitimua..
Nunuwa SAMAKI wa kukaanga FUNGU 3 NA MAZIWA PAKITI 3 MPE....hakika akikuona tena ATAKUTINGISHIA MKIASina kawaida ya kupiga wanyama, na nawapenda sana. Sema nilikua namuwekea chakula kwa haraka akapanda juu ya meza akaangusha kioo kikapasuka kabisa.
Sasa nikashikwa na hasira nimempiga nikamuumiza na akiniona anakimbia. I wish angekua ni binadam nikamuomba msamaha.
I do i get over this?
[emoji23]Jamani sijapata Msaada mpka saa.
Wala Hakuna mtu aliekuja kilichukua ili linyau Malaya utazan mashindano.
Licha ya kuniletea matoto nyomi kama team ya mpira na mm kuyagawa bado linafnya umalaya..!
Sasa hivi usiku kibarazani limevifata vidume viko vinne.. Vinasubir mzigo.. Yaan anapigwa mtungo..! Nmechoka nmevitimua hivyo bado vimerudi..!
Anaemtaka huyu Dada nyau Malaya, mdangaji aje amchukue.. [emoji22][emoji22]
Mimi Nilikuwa nao wawili wakawa hawakamati panya wanasubiri wakiskia kale kamlio ka kuwasha jiko la gesi wanajua msosi huo wanafoka upike chap, kujisaidia ndani kama mashindano vile daaaah
Niliwafanyia mchezo fulani mmoja kakimbia mazima,mwingine anakamata panya kimtindo anajifunza mdogo mdogo
Inaonekan una uzoefu
Mkuu Sorry What to do ikiwa unafuga Paka ambae hujisaidia ndani, not always Lakini huwa ana hiyo tabia [emoji2]