haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Sina kawaida ya kupiga wanyama, na nawapenda sana. Sema nilikua namuwekea chakula kwa haraka akapanda juu ya meza akaangusha kioo kikapasuka kabisa.
Sasa nikashikwa na hasira nimempiga nikamuumiza na akiniona anakimbia. I wish angekua ni binadam nikamuomba msamaha.
I do i get over this?
Sasa nikashikwa na hasira nimempiga nikamuumiza na akiniona anakimbia. I wish angekua ni binadam nikamuomba msamaha.
I do i get over this?