DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naomba ufafanuzi,
Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi.
Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi ya mdomo ya nguvu yupo anatema damu.
Je, kama atatoka meno au jino nani anamakosa ? Then Mimi muislamu swala tano sipendi harufu wala kukaa na mtu analewa pombe na kunipigia kelele.
Nimefunga dirisha na nimewasha radio huku nikisikiliza hotuba ya Lissu pale Temeke kuhusu tozo.
NB: Sitoacha kugawa dozi kwa walevi mnaolewa na kuwafanyia watu vurugu, tena Usiku.