Pac-Man
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 465
- 739
Naomba ufafanuzi
Mimi ni introvert Mtaa mzima wanaelewa kuwa Sina makuu na mtu
Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi .
Sasa hapa napopanga Kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu .
Nimefungu dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumu ya Mdomo ya Nguvu .
Yupo anatema damu jee Kama atatoka meno au jino Nani anamakosa ?
Then Mimi muislamu swala tano sipendi harufu Wala kukaa na mtu analewa pombe na kunipigia kelele.
Nimefunga dirisha na nimewasha radio huku nikisikiliza hotuba ya Lissu pale Temeke kuhusu tozo.
NB sitoacha kugawa dozi kwa walevi mnaolewa na kuwafanyia watu vurugu Tena Usiku .
Kanawe huo mkono utakuwa unanukia pombe
Maana umelenga lile domo