DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mkuu huyu jamaa anatumwa na mke wake kuwafanyia watu fujo , huyo mke wake anatabia za kimalaya hatari so ukiwa single una habari za KE na yeye pia anafanya visa ili kukutoa kwa reliWewe umsimpuuze,just help him huenda akabadilika kuwa nice mtu baadaye
Pengine ulitakiwa kuzungumza Naye akiwa timamu,
Hapo safi sana hamna tatizo huyo atapuuzwa ni mlevi mkorofi🤣🤣🤣Nimefunga dirisha na nimewasha radio huku nikisikiliza hotuba ya Lissu pale Temeke kuhusu tozo.
Subiri pombe zikate kichwan af akakunywee ndo utamjua vizurNaomba ufafanuzi
Mimi ni introvert Mtaa mzima wanaelewa kuwa Sina makuu na mtu
Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi .
Sasa hapa napopanga Kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu .
Nimefungu dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumu ya Mdomo ya Nguvu .
Yupo anatema damu jee Kama atatoka meno au jino Nani anamakosa ?
Then Mimi muislamu swala tano sipendi harufu Wala kukaa na mtu analewa pombe na kunipigia kelele.
Nimefunga dirisha na nimewasha radio huku nikisikiliza hotuba ya Lissu pale Temeke kuhusu tozo.
NB sitoacha kugawa dozi kwa walevi mnaolewa na kuwafanyia watu vurugu Tena Usiku .
Mpe na nyingine maana huyo ni mjinga watu wanakunywa konyagi hawasumbui yeye henken mtaa mzma unamjua khaaa
🤔🤔🤔 Sasa mkuu nawasumbuaje? Anyway njoo nikununulie chipusi dume la mpemba ni balaaaWw nae unatusumbua ni vile tu hatusemi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848][emoji848] Sasa mkuu nawasumbuaje? Anyway njoo nikununulie chipusi dume la mpemba ni balaaa
Ngoja uone mkuu napiga ulanzi na vaa na miwani ya jua usiku mambo yanakuwa bambam na home nafikaUkilewa unapepesauka na unaaza kuanguka ata kwako hukumbuki kuludi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja uone mkuu napiga ulanzi na vaa na miwani ya jua usiku mambo yanakuwa bambam na home nafika
Mkuu hivi sinawanasemaga chips zinamaliza nguvu za kiumeUnanywea wapi ulanzi kihesa au frelimo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hivi sinawanasemaga chips zinamaliza nguvu za kiume