Nimempokea Yesu Kristo na kubatizwa ila nimeagizwa nibaki na mke mmoja kati ya wanne nilionao. Nitumie vigezo kutekeleza agizo hilo?

Baba Mungu wa mbinguni mbona hana tatizo na mwanaume kuwa na wake wengi? Chungu wakovu wako usije kuwa chanzo cha dhambi.
 
Hao waliokupa hilo sharti kwanini hukuwaomba maelekezo?
 
Ishi nao wote kwa upendo. Wape matunzo na haki zao za unyumba Kwa upendo bila upendeleo. Hakikisha Wana amani na furaha kuwa na wewe. Hiyo ndo dini ya KWELI na Pepo yako itakuwa hakika ukiweza kutimiza.
 
cha kujiuliza je kuwa na wake wa nne ni chukizo kwa Mungu ama ni chukizo kwa dini yako ama ni chukizo kwa vyote?

Huwa nayapenda sana majibu ya Jesus Christ katika Biblia yamejaa ufahamu usiopimika. Neno la hekima likuongoze.
 
Mwongozo wa nini wakati Polygamy sio dhambi...

Mwambie huyo aliyekubatiza kwamba kuoa wake wengi sio dhambi... Akibisha hama hilo kanisa na uhamie kwa mzee wa upako akii utaendelea kuwafaidi wakezo halali kabisa
 
Waombe andiko tu wakilipata nakupa Tsh 10000 chap
Kwa ushauri bora zaidi nicheck 0755346718
Ukristo hauzuii kuendelea kuwa na wake zako maana ni wake zako na anayelala nao ataingia katika dhambi ya kuzini.
Umemaliza kila kitu, uzi ufungwe sasa.
 
Baki nao tu. Mungu hajasema tuoe mke mmoja au mwisho wa nne. Ukiweza kuhudumia oa hata 1000.
 
Waombe andiko tu wakilipata nakupa Tsh 10000 chap
Kwa ushauri bora zaidi nicheck 0755346718
Ukristo hauzuii kuendelea kuwa na wake zako maana ni wake zako na anayelala nao ataingia katika dhambi ya kuzini.
Weka ushahidi wa andiko mkuu
 
Mimi ni mkristo bt taongeza mke wa pili maana lengo langu ni kuwa na wake wawili
 


Muulize alikuombea; hili sio jambo jepesi, tulia wake zako huku ukiendelea kumwomba Mungu atafanya njia, ukija jamii forums au kuuliza watumishi maandazi Unaharibu Maisha
 
Chagua mwenye msambwanda mkubwa kuliko wote ndio ubaki naye.
 
Ikiwa umeokoka kweli, Roho wa Mungu Atakuonesha la kufanya. Kuokoka ni kuzaliwa upya. Ni kuanza kuongozwa na Roho Mtakatifu. Roho wa Kristo atakuongoza, kukufunulia na kukufanikisha katika yote. YOTE!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Mambo mengine hayahitaji ufunuo. Majibu yake yapo tayari kwenye Biblia. Ndoa ya Kikristo ni ya mume mmoja na mke mmoja. Maagizo yapo wazi, hapo hakuhitajiki ufunuo ni kufuata maelekezo yalipo tu basi.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…