Mpentecoste
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 283
- 319
Wa Kwanza kabisa ndio mke halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba Mungu wa mbinguni mbona hana tatizo na mwanaume kuwa na wake wengi? Chungu wakovu wako usije kuwa chanzo cha dhambi.Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Hao waliokupa hilo sharti kwanini hukuwaomba maelekezo?Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Ishi nao wote kwa upendo. Wape matunzo na haki zao za unyumba Kwa upendo bila upendeleo. Hakikisha Wana amani na furaha kuwa na wewe. Hiyo ndo dini ya KWELI na Pepo yako itakuwa hakika ukiweza kutimiza.Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
cha kujiuliza je kuwa na wake wa nne ni chukizo kwa Mungu ama ni chukizo kwa dini yako ama ni chukizo kwa vyote?Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Mwongozo wa nini wakati Polygamy sio dhambi...Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Umemaliza kila kitu, uzi ufungwe sasa.Waombe andiko tu wakilipata nakupa Tsh 10000 chap
Kwa ushauri bora zaidi nicheck 0755346718
Ukristo hauzuii kuendelea kuwa na wake zako maana ni wake zako na anayelala nao ataingia katika dhambi ya kuzini.
Weka ushahidi wa andiko mkuuWaombe andiko tu wakilipata nakupa Tsh 10000 chap
Kwa ushauri bora zaidi nicheck 0755346718
Ukristo hauzuii kuendelea kuwa na wake zako maana ni wake zako na anayelala nao ataingia katika dhambi ya kuzini.
Wadau hamjamboni nyote?
This is a very serious issue wapendwa
Karibuni tu nimebatizwa baada ya kuamua kumpokea Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wangu
Hata hivyo nimeelekezwa wakovu wangu unaenda pamoja na mambo mengineyo kuishi na mke mmoja tu.
Ndugu ninao wake wanne na wote nimefungua nao ndoa za kiserikali isipokuwa mke mdogo kabisa yeye tulifunga ndoa ya kimila
Naombeni mwongozo ndugu zangu napata changamoto kutekeleza agizo hilo na sijui Nini itakuwa hatima ya hao nitakaowaacha
Aksanteni sana niwatakie sabato njema
Mambo mengine hayahitaji ufunuo. Majibu yake yapo tayari kwenye Biblia. Ndoa ya Kikristo ni ya mume mmoja na mke mmoja. Maagizo yapo wazi, hapo hakuhitajiki ufunuo ni kufuata maelekezo yalipo tu basi.Ikiwa umeokoka kweli, Roho wa Mungu Atakuonesha la kufanya. Kuokoka ni kuzaliwa upya. Ni kuanza kuongozwa na Roho Mtakatifu. Roho wa Kristo atakuongoza, kukufunulia na kukufanikisha katika yote. YOTE!
JESUS IS LORD&SAVIOR
ChaiWadau hamjamboni nyote?