TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

TANZIA Nimempoteza baba yangu mzazi

Nimempoteza baba yangu mzazi

Sijui hata nisemeje

Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]

Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa still napambana kupata kazi

Nimebaki yatima mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pole sana mkuu.
Maumivu yake nayajua maana nimepitia huko kwa wazazi wote wawili.
Muhimu ni kuwaombea wapumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom