The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
she is simply a wh**e!
Unatakiwa kujua suluhisho sahihi kwa tatizo sahihi, kuna vitu ni rahisi sana kuvianzisha lakini ni ngumu kuviondoa, inaweza ikachukua maisha yako yote.Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu
Sijaelewa hapa....jamaa anaacha kazi au anakuacha wewe....:confused2::A S confused:
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu
anaacha kazi coz nyangoma kamtenda....kuna watu wanajua kupenda ati sio kama wewe!...cjaelewa kwann nyangoma bado anamuita huyu kaka "mpenzi".....
Kwa tabia hiyo mkigomabana huko mbele most likely utamkomoa tena ili aumie ....; tafuta mwenye tabia kama hiyo ili mnapogombana kila mtu anatoka kumkomoa mwenzie mnaombana radhi kama inakubalika . kikubwa ni kinyume cha maadili ya jamii ...Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu
Anatangaza ndoa na nani?, Ulilewa chakari?!! Mitungi ina wenyewe, sio nyie manaenda ili mfanye mambo fulani ambayo yanawapa fake attitute.
Hivi unaelewa pale watengeneza vimea wanaposema Drink responsibly ?
Nyamayao unajua nakupendaga sana wewe....ukinisaliti naacha kazi....kisha naji:rip:...
:angry::angry::angry::angry::angry::angry: