Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?

Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
Unatakiwa kujua suluhisho sahihi kwa tatizo sahihi, kuna vitu ni rahisi sana kuvianzisha lakini ni ngumu kuviondoa, inaweza ikachukua maisha yako yote.

Kipimo cha kusamehe ni jinsi wewe unavyowasamehe wengine.
 
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu
 
you knew the man loves! still you went behind his back.....do him a favour stay away from him...you ll never know when you ll get drunk again!
 
Sijaelewa hapa....jamaa anaacha kazi au anakuacha wewe....:confused2::A S confused:

Kwa jinsi alivyo huyu Nyangoma kuwa naye ni kazi pia, hivyo jamaa anacha kazi, tena ni kuacha bila notes
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.

kiujumla humu hamna mwanamke na utaishia kuwa choo cha stendi!!!
 
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu

Anatangaza ndoa na nani?, Ulilewa chakari?!! Mitungi ina wenyewe, sio nyie manaenda ili mfanye mambo fulani ambayo yanawapa fake attitute.

Hivi unaelewa pale watengeneza vimea wanaposema Drink responsibly ?
 
dada nyangoma..nani anatangaza ndoa dec, huyu mkaka alieumizwa?..hapo blue...nope nope...bado hujampenda vizuri....kwanza nakushauri uache pombe coz leo umefanya kwa huyu kensho utafanya kwa mwingine kicngizio kikiwa pombe.
 
anaacha kazi coz nyangoma kamtenda....kuna watu wanajua kupenda ati sio kama wewe!...cjaelewa kwann nyangoma bado anamuita huyu kaka "mpenzi".....

Nyamayao unajua nakupendaga sana wewe....ukinisaliti naacha kazi....kisha naji:rip:...
:angry::angry::angry::angry::angry::angry:
 
Nyangoma kabila linakuruhusu wachanganye mpaka wakukome..... miezi sita mbona mingi wengine siku moja tu wanachakachua baba na mwana...

Wengine wanakulaumu na kukutusi usijali ni sehemu ya kujifunza na kukomaa kimapenzi.... mi ningekuwa mwanaume ningekutokea kwani wewe tayari ushajua athari za kudanganya hivyo hutarudia tena

Pole sana piga moyo konde maisha yasonge
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
Kwa tabia hiyo mkigomabana huko mbele most likely utamkomoa tena ili aumie ....; tafuta mwenye tabia kama hiyo ili mnapogombana kila mtu anatoka kumkomoa mwenzie mnaombana radhi kama inakubalika . kikubwa ni kinyume cha maadili ya jamii ...
 
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu

Pole, hii inanishawishi nitake kufahamu umri wako binti, sorry!
 
Nafikiri hata mwanaume wake pia anahitaji ushauri nasaha wa namna wa kukabiliana na frustration za kimapenzi. Haiwezekani akaamua kuacha kazi na kuendelea kulialia kila siku. Nahisi hapa pia mwanaume anaonyesha udhaifu. Dada Nyangoma hapa anataka tu kuolewa (atoe gundu labda), sidhani kama anajutia kosa lake kwa dhati kabisa.

Ukifuatilia maelezo yake utaona anajikanyagakanyaka, wakati kwenye thread yake ya kwanza anasema aliamua kumkomoa, mara ghafla katika post ya 23 anasema alifanya kwa sababu alilewa chakari na alikuwa under stress!! So unaweza kuona kuwa hata yeye ingawa anaomba msamaha lakini hajui alifanya hilo kosa akisukumwa na nini?
 
Umelikoroga Na utalinywa!! sisi hapo usituulize tena
 
Anatangaza ndoa na nani?, Ulilewa chakari?!! Mitungi ina wenyewe, sio nyie manaenda ili mfanye mambo fulani ambayo yanawapa fake attitute.

Hivi unaelewa pale watengeneza vimea wanaposema Drink responsibly ?

halafu kwann watu wanacngizia pombe, mie ni mnywaji lakini nitakachofanya nikiwa nimekunywa ni kwamba nimedhamiria kufanya kupitia pombe....
 
Acheni kukulupukia mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tafadhaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Nyamayao unajua nakupendaga sana wewe....ukinisaliti naacha kazi....kisha naji:rip:...
:angry::angry::angry::angry::angry::angry:

wewe ndio roho yangu, nitaanzia wapi hayo mambo mie?.....halafu nyangoma anajichanganya, mara ilikuwa kukomoa, ghafla ilikuwa pombe...ngoja tumckie tena atakuja na lipi.
 
Unahitaji kuongozwa sala ya toba
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
 
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu

Unachokisema ni kweli na hilo lipo ila naona washauri wengi hapa wamekuwa wa kukupoteza zaidi mapenzi ndiyo kitu kikubwa na kuna wanaume wameoa machangu doa kabisa na wanaishia nao na huku wanajua tabia zao sembuse wewe uliteleza mara moja kwa bahati mbaya na ukakiri!

Mnaweza kurudiana ila Hamtakuwa kama zamani ingawa mtaishi pamoja na kupendana na hilo doa lisilofutika ila linaweza kuchuniwa tu kimtindo kama jamaa ni gent. akiwa na tabia za kike itakugharimu sana Kumbuka kuwa kama unapenda unaweza kuchukuliana na tabia zake ikiwemo kutokuelewana na mkavumiliana na kuishi pamoja.

NB: MWANAUME HUWA HACHEKEWI UNAWEZA KULIWA HATA NA BABA MKWE WAKO UKIMCHEKEA SEMBUSE RAFIKI WA BF.WAKO.
 
Back
Top Bottom