Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?


Hapo haujaingia kwenye ndoa huko hivyo je ukiingia itakuwaje???? Hapo kwenye nyeusi usianze kusingizia kuwa ulikuwa umelewa chakari wakati katika maelezo yako mwanzoni kwenye thread uliyoposti unasema ulikuwa unataka "kumkomesha tena ulidhamiria" yaani unaudhii wewe ungejua.

Halafu unatuambia eti ulikuwa umelewa acha kuwasingizia TBL na SERENGETI BREWERIES. WTF!!!!!!
 
Ulichofanya poa kwa kuwa ulidamiria, sasa ngonja siku ya siku kibano kitageukia kwako!
Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu...........................!:embarrassed:
 
halafu kwann watu wanacngizia pombe, mie ni mnywaji lakini nitakachofanya nikiwa nimekunywa ni kwamba nimedhamiria kufanya kupitia pombe....

Pombe haiwezi kukujengea ambacho hukuwa nacho....pombe inakurahishia kufanya yale unayoogopa kufanya bila kunywa....its universal!
 
you knew the man loves! still you went behind his back.....do him a favour stay away from him...you ll never know when you ll get drunk again!

you are right bro, this kind of women can cause murder. She is just a damn *****!
 
Hata ingekuwa ni mimi siwezi tena endelea na mimi, maana hujaona uthamani wa k yako mpaka umpe rafiki wa karibu, ina maana hata ukiwa na mimi akituona tupo pamoja anajua fika hata urefu wa kisim* chako. Umeshapoteza muelekeo, kwa heri humpati huyo hata kivip bora usingemjulisha
 
Nyangoma - jina lako kama unatokea Kamachumu au Maruku?

Anyways - "cheating" katika mahusiano ni "jambo la kawaida" - na kama uyo jamaa alikuwa mgomvi binafsi sioni kama kuna tatizo, as long as umeshamwambia, mpige chini yeye huyo na mume mtarajiwa and the life goes on!
 
pombe haiwezi kukujengea ambacho hukuwa nacho....pombe inakurahishia kufanya yale unayoogopa kufanya bila kunywa....its universal!

halafu anawasingizia tbl na serengeti breweries sijui wamemkosea nini
 
Nyangoma kwa kweli ni kitendo cha aibu sana ulichokifanya. Naona itabidi Invisible aongeze forums ya Jando na Unyago ili tuwafunde hawa watoto wa siku hizi. Maana imekuwa ni aibu tu ukisikiliza sotry zao.
 
Pombe haiwezi kukujengea ambacho hukuwa nacho....pombe inakurahishia kufanya yale unayoogopa kufanya bila kunywa....its universal!

ndio hapo sasa, cjajua huyu mwenzetu anakunywa pombe za namna gani.
 
huyo rafiki yake hakuwa na govi?
 
anaacha kazi coz nyangoma kamtenda....kuna watu wanajua kupenda ati sio kama wewe!...cjaelewa kwann nyangoma bado anamuita huyu kaka "mpenzi".....
huyo ni mpumbavu wa mwisho... kha!
 
Nyangoma katika vitu ambavyo umeniudhi ni kuwasingizia TBL, wewe tuambie tu kuwa hilo jambo ulikuwa umelipania usituambie mambo ya TBL kwani ulilewa na huyo jamaa alitokea wapi? ulishapanga kufanya hivyo mpaka ukajilewesha eti uje useme pombe wee taratibu usisinzie kabisa. Hao TBL walikusaidia tu kutoa nishai basi hayo mengine yalikuwa mukichwa.

Lakini hebu nikuulize ukiamua kulipiza utalipiza kwa wangapi? Na kwa taarifa yako hujamkomoa jamaa umejikomoa mwenyewe na K yako kujulikana kwa rafiki wa huyo mchumba atakutangaza mpaka ukome kuringa shauri hatufanyagi hivyo uliza mbinu tukufundishe eeehhh shauri yako
 
nakuunga mkono ndugu yangu... na wala asitafute sababu wa update mara pombe, mara visasi sijui mara rafiki... ndvyo alivyo maskini ya mungu. bahati mbaya tu sikujua na umbeya nao juu, kaleta hadi huku aisee kwamba kapigwa kipara na mshikaji wa jamaa, halafu hapohapo tena anasema jamaaa anampena kichizi

inawezekana hata alipoandika hapo bado yuko chicha la kufa n'tu

BTW, amesema baada ya magovi mengi, sasa hapa ni kwamba anayafuma sana kitaa au jamaa yake ni kono la sweta?
 
aaah... mama wa infii!!! mwambie huyo, hana haja ya pombe kutimiza nia

kiu yake tu aisee
 

yeye anaona amefanya cha maanaaaa "kukomoa"...hajui wanaume hawakomoleki? anaendelea kujipa moyo kuwa jamaa bado anampenda sana na atatangaza uchumba dec, dec c ndio hii? atujie na taarifa njema hizo zikifanikiwa.. na akumbuke jamaa haumii bure anaweza fanyiwa revennge ambayo hakutegemea....wadada njue "WANAUME WAHAKOMOLEWI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…