The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
jamani kama makosa yametokea cha msingi nikustart afresh,the man loves me so much na december anatangaza ndoa mie nilifanya nikiwa nimelewa chakari kwa stress ila sikuwa mzima baada ya hapo nimajuto mwana ume anadai anataka kuacha kazi ili asahau ila anashindwa coz ananipenda namie nampenda namimeomba samahani kwa kuwa na fikra potofu
Hapo haujaingia kwenye ndoa huko hivyo je ukiingia itakuwaje???? Hapo kwenye nyeusi usianze kusingizia kuwa ulikuwa umelewa chakari wakati katika maelezo yako mwanzoni kwenye thread uliyoposti unasema ulikuwa unataka "kumkomesha tena ulidhamiria" yaani unaudhii wewe ungejua.
Halafu unatuambia eti ulikuwa umelewa acha kuwasingizia TBL na SERENGETI BREWERIES. WTF!!!!!!Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengisasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa