Nimemsaliti mpenzi wangu nifanyeje asahau?

ngoja leo nikwambie taratibu maana nakufahamu......
acha upuuzi
usisingizie pombe
kaa utulie
mwombe radhi
akikuacha usijiue
usirudie
jenga utashi wa nafsi yako
jithamini
 
Baada ya kusikiliza mashahidi woote wa kesi hii, na kuwa kutazama mwenendo wa kesi..hukumu inatolewa kwa kuangalia sheria zetu mama za ISC

Kwa kujibu wa katiba ya ISC, sheria namba tatu ya mwaka 1973 na marekebisho yake ya mwaka 2010, natamka wazi

Nyangoma amekutwa hana hatia na mahakama inamtaka aendelee kuitumikia vyema ISC kwa moyo, akili, na uwezo wake wote

DARING IS KOMOARING, and SHARING IS CARING
 
Huyu mbona naona haja qualify kujiunga na ISC
 
Marekebisho ya sheria namba tatu ya mwaka 2010 yanaruhusu watu wenye ujuzi wa kukomoa kama hawa kuingia moja kwa moja

habarrrrr yake TEAMO......hebu fafanua zaidi hapo
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
Labda nyangoma nikuulize maswali kadhaa, ambayo naamini huenda ukiweza kunijibu kama vilivyo basi huenda nikapata kukushauri vema on how to handle the situation successfully, otherwise you would be in a terrible marriage...!

  1. Je, hadi sasa una umri gani, na unayedai kuwa mpenzi wako naye ana umri gani?
  2. Je, huko ulipomsalitia mwenzio, ulipata kutumia zana au kavukavu?
  3. Je, msaliti mwenzio alikutumia kwa kiwango gani; mbele, tiGO express, vuvuzela, au kotekote?
  4. Je, umetokea kuwa na mahusiano mangapi katika maisha yako? Na ni kwa mara ya ngapi ukisaliti mahusiano? Na nini kilichopelekea mahusiano ya huko mbele kuvunjika?
  5. Did you really loved your boyfriend? why? what did you found special on him?
  6. Can you say in brief what you have learned from what you did for the future?
  7. Ni nini hasa kimekuwa kikisababisha maugomvi kwenye mahusiano yenu?
  8. Ni kwa muda gani umeweza kumficha mwenzio uhondo huu?
  9. Hadi sasa umepata kupima afya yako?
  10. Je, msaliti mwenzio alikupa story yeyote kuhusu mpenzi wake? Alijua ya kwako kwa kiasi gani? Alijua kuwa nia yako ni kumkomoa boyfriend wako?
Huenda nikabaki kuwa na maswali mengine, lakini yote ni kwa lengo la kufanikisha unachotaka...!
 
Miezi sita bado mapenzi motomoto umeshamsaliti. Ikifika miaka 5 mkishaanza kuchokana utakua umemsaliti mara ngapi? Mwache mshkaji aende zake usije ukamuua bure. Madonda ya mapenzi yatapona tu. Nasisitiza, HUNA UBINADAMU WALA UPENDO WA DHATI kwa mshkaji hivyo jiachie katafute ambae hataumia sana ukimsaliti.
 
:target:Fanya kazi hacha ngono,utaikuta tuuuuuuuuuuuuuu,haziishagi,,,,,,,,,,,,,,
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.

Ulifanya kwa kumkomoa angalia na yeye atakuumiza anaweza tembea na ndugu yako wa damu
 
Habari wanajamii
Nafikiri tumshauri kama alivyouliza na si kumsema, atazidi kuumia sana kwamaana alishaumia ndo maana anaomba ushauri akamalize vipi na huyo jamaa wake za zamani
 
Baradhuli wewe unatumia uchi kukomoa watu c bora ufanye biashara upate pesa ya kujikimu kimaisha. Acha kutupotezea wakati.
 
Habari wanajamii
Nafikiri tumshauri kama alivyouliza na si kumsema, atazidi kuumia sana kwamaana alishaumia ndo maana anaomba ushauri akamalize vipi na huyo jamaa wake za zamani
Minaki achana na watu kama hawa maana wangetaka ushauri wangeomba mapema kabla ya kufanya madudu yao c sasa maji hayazoleki tena. Aanze tu upya.
 
Habari wanajamii
Nafikiri tumshauri kama alivyouliza na si kumsema, atazidi kuumia sana kwamaana alishaumia ndo maana anaomba ushauri akamalize vipi na huyo jamaa wake za zamani

kumsema ili aumie ni sehemu ya kuua ujinga wake ili siku nyingine asilete habari mbovu kama hizi
mimi haiwezekani kabisa kuungana nae kwenye ujinga na upumbavu maana anajidabadua kuwa
alifanya kwa makusudi ya kumkomoa mwenziye, nani kamwambia wanaume wanakomolewa?
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.
mwendawazimu weye, na huyo mwanaume anayelialia ni fa..la tu yaani miezi sita tu mnachanganyana je ikifika mwaka. go to hell
 
Unajua Nyamayao, wanawake wengi siku hizi huu uchi wao wanaufanya kama asset fulani hivi!na ndio maana kunakuwa na malipizi na kukomoana kwa style hiyo!!!!!!!!!!!!!

Hata wanaume wako hivyo hivyo ndio utandawazi huo!
 
wewe nyangumi cjui nyangumu ni mwanamke mpuuzi sana...eti unamuonea huruma...jionee huruma mwenyewe andazi mkubwa wewe
 
Nina mpenzi ambaye tunafanya kampuni moja japo ofc tofauti na tuna miezi kama sita hivi toka tuanza ila katika mahusiano hayo tumegombana sana kuliko kufurahia sana mahusiano yetu na nimekuwa simuamini sna katika mahusiano yetu baada ya magovi mengi niliamua kutembea na rafiki yake japo si wakaribu sana ila ni washikaji huku nikijua huyo jamaa anaoa karibuni ila sikujali nikdhamiria tu kumkomesha yule jamaa sasa kajua na nimea dmit kila kitu kwake kama nimetembea na huyo jamaa na kila kitu,sasa jamaa ni ananipenda kuliko maelezo yani ni anabaki kuumia sana sana sana moyoni imefika hatua hadi analia machozi y nimemsaliti kwa mshkaji wake?kwakweli naona aibu na namuonea huruma sana anataka hadi kuacha kazi kisa hawez vumilia hayo maumivu na anaona aibu kwa wanaume wenzie sababu wanajua sasa nifanyeje kumplease nampenda ananipenda pia tena mno ndo mana anaumia na je hata akinisamehe baadae anaweza nilipa?ila najuta na kuona aibu.

:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Labda nimuulize nyangoma swali moja alipomkomoa kwa kutembea na rafiki yake amepata nini? Saa zingine akili zinakuwa za namna gani hapo sidhani kama kuna kitu cha kufanya ili yeye asahau sababu wakati unafanya ulidhamiria tena umesema mwenyewe ulikuwa unataka "kumkomesha" halafu sasa hivi unahitaji ushauri ufanyaje ili asahau maumivu WTF!!!!!!! Vitu vingine vinaudhi sanaaa

Pole Nyangoma because ur looser. Wakati unapanga kumkomesha uliomba ushauri????????
 
Habari wanajamii
Nafikiri tumshauri kama alivyouliza na si kumsema, atazidi kuumia sana kwamaana alishaumia ndo maana anaomba ushauri akamalize vipi na huyo jamaa wake za zamani
Mtu anamwaga maji then ndio anakuja kutuambia sisi tuyazoe? Kwanza alishasema malengo yake na amefanikiwa..... Hata hivyo, tunajaribu kumsaidia lakini katoweka, sasa tumsaidieje wakati ukimuuliza maswali ambayo huenda yangekusaidia kumshauri hajibu......?
 
Back
Top Bottom