Nimemsamehe adui yangu aliyenipelekea kuyumba baada ya kufariki, Mungu ampokee

Nimemsamehe adui yangu aliyenipelekea kuyumba baada ya kufariki, Mungu ampokee

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Usipende kuharibu maisha ya watu.usipende kumfanyia mtu kibaya ila niliweka kando maumivu na mateso uliyonipa kwenye utafutaji.

Labda bila wewe nisingekuwa hapa au bila wewe ilikuwa kusudi kwa muumba mimi nitoke pale.

Nakuombea kwa Mungu akupokee.

Huku nikisindikiza na wimbo wa "Nimajaliwa yeke Mungu kuona mwaka," amen 2022.
 
Binadamu tunatakiwa kuwa na moyo wa kusamee haijalishi umeumia kiasi gani kama ulishagamsamee hapo safi ila kama mpaka amefariki ujamsamee umefanya makosa sana.
 
Mimi siamini katika kusamehe,mimi ni muumini wa kulipiza na ninapofanya hivyo roho yangu huridhika sana
Mbona Mungu ndiye mlipiza kisasi mzuri sana kuliko hata wewe Binadamu, au we ndiwe wale jino kwa jino wafia dini wa imani ile [emoji848][emoji849]

Au hujui faida za kusamehe ni nzuri zaidi kuliko kulipiza kisasi [emoji848]

WARUMI 12:19-21.

Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.

Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Utamsame je mtu wakati ulikua huna uwezo wakulipiza kisasi ungesema tu nilimuachia Mungu.
 
Mbona Mungu ndiye mlipiza kisasi mzuri sana kuliko hata wewe Binadamu, au we ndiwe wale jino kwa jino wafia dini wa imani ile [emoji848][emoji849]

Au hujui faida za kusamehe ni nzuri zaidi kuliko kulipiza kisasi [emoji848]

WARUMI 12:19-21.
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.

Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nimekuambia mimi binafsi ili moyo wangu uliridhike ni mpaka nilipize kwa lolote lile liwe baya au zuri sasa mambo ya dini yanatokea wapi ewe mkristo mjinga?
 
Mtu akikufanyia baya ukamjibu kwa jema, hakika nafsi itamsuta

mfano mdogo; ukimtukana mtu "pumbavu wewe huna akili" akakujibu hivi[emoji120]

hakika itakuuma
 
Huenda katika kukufanya yeye kuyumba kiuchumi ni nafuu kwako pia.huenda asinge kuharibia ungekuwa juu kiuchumi ungefanya anasa na matokeo yake ukafa kwa ukimwi,

Mshukuru mungu tu kwa kilichotokea

Kila hatua dua.
 
Back
Top Bottom