Mbona Mungu ndiye mlipiza kisasi mzuri sana kuliko hata wewe Binadamu, au we ndiwe wale jino kwa jino wafia dini wa imani ile [emoji848][emoji849]Mimi siamini katika kusamehe,mimi ni muumini wa kulipiza na ninapofanya hivyo roho yangu huridhika sana
Nimekuambia mimi binafsi ili moyo wangu uliridhike ni mpaka nilipize kwa lolote lile liwe baya au zuri sasa mambo ya dini yanatokea wapi ewe mkristo mjinga?Mbona Mungu ndiye mlipiza kisasi mzuri sana kuliko hata wewe Binadamu, au we ndiwe wale jino kwa jino wafia dini wa imani ile [emoji848][emoji849]
Au hujui faida za kusamehe ni nzuri zaidi kuliko kulipiza kisasi [emoji848]
WARUMI 12:19-21.
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
we ni muislam utakuaMimi siamini katika kusamehe,mimi ni muumini wa kulipiza na ninapofanya hivyo roho yangu huridhika sana
Mimi kabisa huyuMimi siamini katika kusamehe,mimi ni muumini wa kulipiza na ninapofanya hivyo roho yangu huridhika sana
Kwanini?we ni muislam utakua