Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu kwema?

Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.

Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.

Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikuwa na mentality kwamba Magufuli kawasahau, lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale Wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.

Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.
 
Wakuu kwema?

Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.

Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.

Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.

Uzi mzuri👏
 
Kila kiongozi ana mema pamoja na changamoto/madhaifu yake. Basi ni vema tuwe tunatoa ushauri pale ambapo tunaona kuna changamoto ya kiuongozi ili Tanzania isonge mbele.
 
Ungepiga magoti kwanza kwaajili ya wakoloni walokufundisha hata kuvaa nguo... wakakuchorea mipaka ya nchi hata ukajua nchi na serikali ni kitu gani mwishowe mkajua reli,barabara na hospitali ni nini.

Acha kichaa we conman.
Kwa nin unampangia?
 
Mkuu, ulichelewa saana! JPM apumzike salama, kafanya Kwa wingi na Kwa muda mfupi!

Akili ni nywele, na kila mtu anazake!

Tunaokubaliana juu ya utendaji kazi wake ni mamilion ya watanzania,
Kafanya kumzidi nani? Nyie viazi mna kazi ya kumsifia DIKTETA utadhani kafanya mambo makubwa!! Hivi mnajua kuwa JK aijenga Km 12,000 za Barbara za lami kwa miaka 10 wakati huyo Mwendazake kajenga km 2,000 kwa miaka 5?
 
Ukienda kusini wamakonde wanamshukuru mkapa kwa ujenzi wa daraja kwa maana watu walikuwa wanapata shida sana kuvuka, ukirudi da watu wanamshukuru kikwete kwa daraja la kigamboni kwa maana amepunguza foleni na mzunguko , ukirudi kilombelo watu wanamshukuru kikwete amewajenge daraja maana pale mtoni kilombero ilikuwa sio poa watu walivyokuwa wanakufa kwa kivuko kuzama, ww endelea kulia lia huko
 
🐒🐒🐒
16409521842520.jpg
 
Wakuu kwema?

Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.

Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.

Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.

Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.
Tenda kadiri ya dhamira yako inavyokutuma alimradi huvunji sheria. Na wala siyo lazima unachikihisi wewe kiwe sahihi kwa wote.

Wewe unapoomba na kushukuru kwa maisha yake, wale waliopoteza ndugu zao kwa sababu yake, au kuteswa, au kufungwa kwa kuonewa, watakuwa na sala tofauti.

Lakini Baba yetu wa mbinguni, ndiye pekee aliye sahihi wakati wote na kwa mambo yote.
 
Wakuu kwema?

Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.

Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.

Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.

Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.
Barikiwa
 
Kazi za Shetani usimshirikishe Mungu...unaitafuta laana.
 
Back
Top Bottom