kwetukubaya
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 108
- 211
sijaona vilio vyako kwa Sekretarieti ya Ajira muda sasa[emoji28]Wakuu kwema?
Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.
Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.
Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.