Uzi mzuriπWakuu kwema?
Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.
Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.
Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.
Kila kiongozi ana mema pamoja na changamoto/madhaifu yake. Basi ni vema tuwe tunatoa ushauri pale ambapo tunaona kuna changamoto ya kiuongozi ili Tanzania isonge mbele.Wakuu kwema?
Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.
Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.
Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.
Kwa nin unampangia?Ungepiga magoti kwanza kwaajili ya wakoloni walokufundisha hata kuvaa nguo... wakakuchorea mipaka ya nchi hata ukajua nchi na serikali ni kitu gani mwishowe mkajua reli,barabara na hospitali ni nini.
Acha kichaa we conman.
Kafanya kumzidi nani? Nyie viazi mna kazi ya kumsifia DIKTETA utadhani kafanya mambo makubwa!! Hivi mnajua kuwa JK aijenga Km 12,000 za Barbara za lami kwa miaka 10 wakati huyo Mwendazake kajenga km 2,000 kwa miaka 5?Mkuu, ulichelewa saana! JPM apumzike salama, kafanya Kwa wingi na Kwa muda mfupi!
Akili ni nywele, na kila mtu anazake!
Tunaokubaliana juu ya utendaji kazi wake ni mamilion ya watanzania,
Tenda kadiri ya dhamira yako inavyokutuma alimradi huvunji sheria. Na wala siyo lazima unachikihisi wewe kiwe sahihi kwa wote.Wakuu kwema?
Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Nilivyofika pale mto wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.
Pamoja na kwamba watu wa Kaskazini walikua na mentality kwamba Magufuli kawasahau,lakini kwa uthubutu wake wa kuanza kujenga ile project pale wami hakika ni dhahiri mzee aliwapendelea sana wana wa Kaskazini.
Kesho nitafunga kwa ajili ya Magufuli ili azidi kupumzika mahali pema peponi.
BarikiwaWakuu kwema?

Kazi za Shetani usimshirikishe Mungu...unaitafuta laana.Wakuu kwema?