Nimemsikia Nape kuhusu katazo la VPN ila sijamuelewa kama anajua matumizi ya simu

Nimemsikia Nape kuhusu katazo la VPN ila sijamuelewa kama anajua matumizi ya simu

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Huyu Nape ni waziri wa habari ila sikuelewa jambo alilotaka kuelezea kama lilikua ni lenyewe au la.

Nape ametumia muda kueleza nia nzuri ya kudhibiti matumizi ya VPN, ni kuzuia utapeli wa ile hela tuma namba hii unaoendelea nchini kupitia mitandao ya simu.

Nape amehusisha utapeli huo na matumizi ya VPN, naomba wenye kujua uhusiano huo wanifafanulie maana mwanzo tuliambiwa tusajili laini za simu kukomesha utapeli ambao bado unaendelea kwa kasi ileile.
 
Back
Top Bottom