Nimemsikia Tundu Lissu akidai Mbowe alipotoka jela alibadilika kalamba asali!, Mbowe mstaarabu sana aisee jamaa anampaka vibaya sana hata kwenye mdahalo.
Najiuliza hivi, yeye aliporudi nchini alifanya nini? Upi mchango wake mkubwa baada ya kurudi nchini kutoka Ubelgiji ambao tunaweza sema Tundu Lissu aliyeondoka ndiye huyu aliyerudi. Mimi niko huku nilisikia haya
1. Tumesikia alikutana na Abdul nyumbani kwake ili arudishiwe fedha zake za maribabu nje ya utaratibu za Serikali. Inakuwaje mpokea rushwa ni Wenje sio yeye alokuwa tayari kupokea au kwa sababu hakupata fedha hizo ndio kageuka?
2. Tulisikia CCM wakimchagia Lissu kupata gari lake na akasema wakimpa atalichukua, hii imekaaje, ilitokeaje?
3. Tundu Lissu akiwa Ubelgiji alimuomba Mama Samia kumlipa hela zake Ubunge nje kabisa ya utaratibu wa malipo ya fedha za Seeikali na akalipwa. Je, hii ni Asali au sio?
Na katika fikra za kawaida mru yeyote utajiuliza Je, Mama Samia alitaka nini kutoka kwa Lissu mpaka akampa fedha hizo nje ya utaratibu wa Bunge? Nina hakika kabisa angekuwa Kiongozi mwingine yeyote Tundu Lissu asingemuacha.