Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

Em ngoja kwanza
Inamaana hadi dunia ya leo mtu unashindwa kuelewa lugha? Tena kwa mchezaji mkubwa kama yeye?
Kwanini asitafute usaidizi?
 
Kumpa mkataba unaoendana na hali yake ni sahihi ila ajue kabla kuwa anasaini nini.
 
Kupitia sakata la mayele mashabiki wa simba wameshasahau kwamba wametolewa kombe la FA ni propaganda wanafanya
Ulitaka nini kitokee baada ya kutolewa? Mashabiki Wakafanye usajili?
 
Mayele kinachomuuma ni kusahaulika ghafla Yanga. Ile shangilia yake pia imepotezewa yaani anaona kama kawa ignored completely
Kwahiyo alitaka Yanga isimove on?

Yanga haiwezi kufanya ujinga ukiondoka tunamove siyo, Simba walimlilia Chama mpaka karudi, lakini Yanga ni mbele Kwa mbele.
 
Kumpa mkataba unaoendana na hali yake ni sahihi ila ajue kabla kuwa anasaini nini.
Saa nyingine acheni upumbavu, kuna document kibao tunapokea kutoka Uarabuni huwa tunapeleka mpaka Bakwata kutafsiriwa.

Sasa issue ya kutafsiri nayo dunia ya leo ufanyiwe? Huu ni upuuzi sasa.
 
Umeeleza vizuri sana, japo sijatazama hayo mahojiano lakini kwa maelezo haya, nimeelewa vizuri alichoongea na sababu ya kuongea.

Lakini, kubwa zaidi ni ushauri uliotoa ni wa msingi sana. Ni kweli Mayele ana shida ya ujuzi wa Kiswahili, na hii ndiyo sababu ya aina ya kauli zake.

Asamehewe tu.

Ova
 
Saa nyingine acheni upumbavu, kuna document kibao tunapokea kutoka Uarabuni huwa tunapeleka mpaka Bakwata kutafsiriwa.

Sasa issue ya kutafsiri nayo dunia ya leo ufanyiwe? Huu ni upuuzi sasa.
Mihemko ya nini? Umeshinda njaa siku nzima? Mambo ya kawaida haya, tunajadili kubadilishana mawazo, Upuuzi kwani unatumia hizi hoja kuombea ongezeko la mshahara?
 
Ni ukosefu wa akili huo ma boss Pyramid wakiona hio interview watapata tafasiri gani? sijui kwanini hajui kipi aongee kipi aache
1. hana busara atapata wapi mawazo ya kipi aongee kipi asiongee
2. anaongozwa na meneja ambaye hana professionalism licha ya exposure yule mwanamke ni mjingamjinga
3. anapenda sana mitandao. alifikiri Misri ni ligi sawa na ukimani. badala ya kukaza matako na kujifua analeta stori za uchawi kuwa anarogwa. jamaa lifala kweli.

viongozi wa simba wakiichukua hii takataka nitawaona hawana akili. hata yanga nao wakimrudisha nitawaona ni wajinga
 
Angerogwq morisson,fei au bangala waliondoka kwa vurugu,mayele kaiingizia pesa Yanga na hata huko aliko ndani ya mkataba wake kuna pesa ya Yanga iwapo atauzwa,mayele mpaka anaondoka Yanga ukiangalia ile documentary ya Yanga alivyoongea akua na ugomvi na Yanga,kikubwa kinachomuuma mayele perhaps alijiona mkubwa kuliko klabu na akajua kuondoka kwake Yanga itayumba,matokeo imekua tofauti na alichokitarajia
 
Mayele hajui Kingereza, lakini Kiswahili anaongea kuliko Mimi.

Mayele anajuwa kuchamba kama Mange huwezi kusema hajui vizuri Kiswahili.

Mayele anajuwa kuna watu wanaishi Kwa mizinga, Mayele anawachamba Hadi mashabiki wa Yanga wanaokwenda kuingia bure na kuvunja geti.

Labda Kiswahili mnachosema anazidiwa na Haji Manara na siyo Kiswahili bali uswahili.
 
Sure mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…