Nimemsikiliza mbunge Getere nimeshangaa nakusikitika

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Eti mbunge huyo anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu,niwalevi,na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula?

Hivi amesoma chuo huyo mbunge au amesoma shule za bweni? Au anataka wanachuo wachemshiwe mihogo na chai rangi kama wanafunzi wa boarding?
Mbona wapo wanafunzi ambao wanawasaidia ndugu zao kwa hilo boom, je mbona hajawatambua? Ameonesha chuki kubwa kwa watanzania wenzake

Je hakuna wabunge walevi,?
hakuna wabunge ambao hawana nidhamu?
Hakuna wabunge ambao wanasinziatu kwa mujibu wa aliyekua RC wa DSM kipindi cha nyuma?

Mbona tunaona wabunge marakadhaa wakinyamazishwa waache kelele bungeni? Hawaoni kama wanaonekana na wananchi?
Nimara ngapi wanapitisha miswada inakua sheria mfano mambo ya tozo na muda kidogo wakaondoa? Sio kama walichemka? Mbona hawajawahi kutuomba radhi?
Mbona hajawa mkali kwa wafujaji walioiba mali ya umma kwa mujibu wa CAG. Huyo ameacha kujadili yanayomhusu kama mbunge na amejadili yasiyomhusu
Mathalan kuna mbunge ambae anawakilisha makundi ya vyuo je mbona hajawatetea wakikandamizwa?

Kwani yeye hela anazolipwa kama mbunge hakuna ziada?
Mbunge huyo amejiaibisha,ameishusha hadhi yake na amewavua ngua wapigakura wake. Nashawishika kusema hafai tena kurudi bungeni
 
Hakuna bunge pale, usanii, upotevu wa mapato, ujinga ujinga, uozo, ngono, kutokuwajibika, mapovu....
 
Pamoja na kupewa za uso na mbunge huyo muache ulevi vyuoni
 
Eti mbunge huyo anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu,niwalevi,na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula?

Hivi amesoma chuo huyo mbunge au amesoma shule za bweni? Au anataka wanachuo wachemshiwe mihogo na chai rangi kama wanafunzi wa boarding?
Mbona wapo wanafunzi ambao wanawasaidia ndugu zao kwa hilo boom, je mbona hajawatambua? Ameonesha chuki kubwa kwa watanzania wenzake

Je hakuna wabunge walevi,?
hakuna wabunge ambao hawana nidhamu?
Hakuna wabunge ambao wanasinziatu kwa mujibu wa aliyekua RC wa DSM kipindi cha nyuma?

Mbona tunaona wabunge marakadhaa wakinyamazishwa waache kelele bungeni? Hawaoni kama wanaonekana na wananchi?
Nimara ngapi wanapitisha miswada inakua sheria mfano mambo ya tozo na muda kidogo wakaondoa? Sio kama walichemka? Mbona hawajawahi kutuomba radhi?
Mbona hajawa mkali kwa wafujaji walioiba mali ya umma kwa mujibu wa CAG. Huyo ameacha kujadili yanayomhusu kama mbunge na amejadili yasiyomhusu
Mathalan kuna mbunge ambae anawakilisha makundi ya vyuo je mbona hajawatetea wakikandamizwa?

Kwani yeye hela anazolipwa kama mbunge hakuna ziada?
Mbunge huyo amejiaibisha,ameishusha hadhi yake na amewavua ngua wapigakura wake. Nashawishika kusema hafai tena kurudi bungeni
Unategemea nini kutoka kwa wabunge wa mchongo wa CCM na Magufuli
 
Si ndo wabunge wa chama chenu mkuu.
Kwamba asirudi,kwani aliingiaje.🤣🤣🤣🤣
 
Eti mbunge huyo anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu,niwalevi,na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula?

Hivi amesoma chuo huyo mbunge au amesoma shule za bweni? Au anataka wanachuo wachemshiwe mihogo na chai rangi kama wanafunzi wa boarding?
Mbona wapo wanafunzi ambao wanawasaidia ndugu zao kwa hilo boom, je mbona hajawatambua? Ameonesha chuki kubwa kwa watanzania wenzake

Je hakuna wabunge walevi,?
hakuna wabunge ambao hawana nidhamu?
Hakuna wabunge ambao wanasinziatu kwa mujibu wa aliyekua RC wa DSM kipindi cha nyuma?

Mbona tunaona wabunge marakadhaa wakinyamazishwa waache kelele bungeni? Hawaoni kama wanaonekana na wananchi?
Nimara ngapi wanapitisha miswada inakua sheria mfano mambo ya tozo na muda kidogo wakaondoa? Sio kama walichemka? Mbona hawajawahi kutuomba radhi?
Mbona hajawa mkali kwa wafujaji walioiba mali ya umma kwa mujibu wa CAG. Huyo ameacha kujadili yanayomhusu kama mbunge na amejadili yasiyomhusu
Mathalan kuna mbunge ambae anawakilisha makundi ya vyuo je mbona hajawatetea wakikandamizwa?

Kwani yeye hela anazolipwa kama mbunge hakuna ziada?
Mbunge huyo amejiaibisha,ameishusha hadhi yake na amewavua ngua wapigakura wake. Nashawishika kusema hafai tena kurudi bungeni
Huyo hana elimu ya juu, amelewa
 
Mbunge kasema ukweli na mchango wake uko sawa chuoni kuna walevi wengi sana. Kazungumzia ulevi tu pia kuna ngono sana tu. Unakuta binti katoka kwao ana maadili mazuri lakini akifika chuoni anatongozwa mpaka anaingia kwenye ngono na anafundishwa kunywa pombe anakuwa muhuni na mzoefu wa tabia hiyo na kuanza kuona umalaya unampatia fedha za kujikimu chuoni. Mambo ya hovyo chuoni ni mengi japo si lengo la kwenda kusomea ni kama upepo fulani unaowakumba wanachuo japo si target yao kwenda kujifunza upuuzi huo, wana malengo yao mahsusi waliyokwenda kujifunza chuoni ila mob zao huwaingiza kwenye ulevi na ngono
 
Boom halichochoe ulevi hiyo ni hulka na tabia ya mtu
Mlevi hata ukimnyima boom atatafuta namna ya kulewa
HOja ya Mbunge haina mashiko kabisa hajatafakari kwa kina
 
Getere hana shida mwenyewe wakwake yeye anaweza kuwasomesha hata kwa posho anazopata bungeni,sasa Watanzania wa kawaida kama watoto wasipopewa hizo boom anataka wakajiuze huko chuo na kuwa vibaka?Maana mpk sasa wanafunzi wengi wanajiungiza kwenye mambo ya ajabu chuoni kutokana na hali ngumu za maisha.
 
Gutere ukipita humu JF pokea zawadi hii Mzee acha usenge usiwe msengemzee, umevimbiwa posho za bungeni kiasi cha kutema mashudu yasiyofaa hivi wananchi wako hawana kero yoyote huko kwenu au hicho ndicho ulichotumwa na wananchi wako wa huko utokako? Wamekutuma bungeni ukafanye hayo unayoyafanya kuzuia watoto wao wakienda Chuo wasipewe Pesa za kujikimu Pesa ambazo hawapewi bure bali hupewa na wakimaliza Chuo wanazirejesha wewe umetokwa macho wasipewe, ndio wananchi wako unaowawakilisha walichokutuma bungeni hicho?
 
Mbunge kasema ukweli na mchango wake uko sawa chuoni kuna walevi wengi sana. Kazungumzia ulevi tu pia kuna ngono sana tu. Unakuta binti katoka kwao ana maadili mazuri lakini akifika chuoni anatongozwa mpaka anaingia kwenye ngono na anafundishwa kunywa pombe anakuwa muhuni na mzoefu wa tabia hiyo na kuanza kuona umalaya unampatia fedha za kujikimu chuoni. Mambo ya hovyo chuoni ni mengi japo si lengo la kwenda kusomea ni kama upepo fulani unaowakumba wanachuo japo si target yao kwenda kujifunza upuuzi huo, wana malengo yao mahsusi waliyokwenda kujifunza chuoni ila mob zao huwaingiza kwenye ulevi na ngono
Sawa, kwahiyo ndio wanyimwe boom?
 
Gutere ukipita humu JF pokea zawadi hii Mzee acha usenge usiwe msengemzee, umevimbiwa posho za bungeni kiasi cha kutema mashudu yasiyofaa hivi wananchi wako hawana kero yoyote huko kwenu au hicho ndicho ulichotumwa na wananchi wako wa huko utokako? Wamekutuma bungeni ukafanye hayo unayoyafanya kuzuia watoto wao wakienda Chuo wasipewe Pesa za kujikimu Pesa ambazo hawapewi bure bali hupewa na wakimaliza Chuo wanazirejesha wewe umetokwa macho wasipewe, ndio wananchi wako unaowawakilisha walichokutuma bungeni hicho?
Huyo amechagua kujifelisha kwenye siasa zakibunge
 
Mule bungeni kuna vila.zaa hatari, mwingine juzi katujia na mashine ya T SCAN!.
Eti waheshimiwa!!.
 
Back
Top Bottom