Nimemsikiliza Padre Kitima. Hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi. Sijaoona kipengele kibaya kwenye mkataba

JPM alisema vizuri kwa ajili ya kujenga hoja suala la umeme wa maji. Aliamua kuwaharibia wadau wa masuala ya gesi ili aweze kuwa na uhalali wa kujikita kwenye umeme wa maji. Kuna siasa kwenye hilo suala.
Yeye kitu kikisemwa na JPM anajua basi huo ndo ukweli. Anasahau JPM nae alikuwa binadamu kama yeye tu
 
Mpaka uwe na AKILI ndio utaona na utabaini vipengele vibaya kwenye mkataba maana utasoma in deeply,usiposoma huu mkataba kutokana na ukilaza wako lzm mkataba uwe mzuri kama unavyotuambia ambao tumeshausoma.
 
Mpaka uwe na AKILI ndio utaona na utabaini vipengele vibaya kwenye mkataba maana utasoma in deeply,usiposoma huu mkataba kutokana na ukilaza wako lzm mkataba uwe mzuri kama unavyotuambia ambao tumeshausoma.
Kuna shida gani ukaweka hivyo vipengele na maelezo yake tukuone ulivyo na akili
 
Sijaona ulichoandika we kibaraka
 
hujataka tu kumuelewa Padre suala la kuhamia Dodoma na ishu ya Loliondo ni tofauti kabisa kwani waliohamia Dodoma wamejengewa nyumba kama hao walopelekwa Msomera yani hapo unafananisha vitu viwili visivyofanana ka interest yako ya kutaka kutetea tu.

pili suala la ardhi nadhani alitolea na mfano,anyways tufanye sio umiliki bali matumizi je katika hayo hayo matumizi wakiamua kufanya matumizi si lazima kutakuwa na athari?????
 
Wabunge na maphd yao wamezidiwa na mapadre
 
Waarabu ni hatari sana. Wameshakuharibu tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…