Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Leo, mmoja wa wajumbe wa tume ya katiba mpya Prof. Kabudi.. kwenye kipind cha kipima joto cha ITV.. ambapo pamoja na mambo mengine ameeleza kwa kina tafsir ya mambo makubwa katika rasimu ya katiba hiyo.. ! ctaki kusema kwamba haihitaji marekebisho na nyongeza kadhaa, lakini.. inaonesha kwamba wakosoaji wengi hawajaisoma vzur rasimu hiyo na kuielewa, wengi wanakurupuka, nimekuwa nikisikitishwa sana na watz wengi wanaochambua mambo makubwa ya kitaifa kwa maslah ya muda mfupi sana.. na hi inatokana na panic ya watu wengi hasa wanasiasa, kuingiliwa kimaslah na rasimu hii WITO; Kwa watz wote kusoma rasimu hii na kuielewa, badala ya kudandia uchambuz wa baadhi ya watu wengi wenye hiden agenda....! utaifa kwanza itikad baadae!!!!!