mi namkubali sana prof kabudi wa pale kitivo cha sheria udsm ila katika hili la serikali tatu siwezi nikakubali ata kidogo kushawishiwa ni mzigo kwetu na atuhitaji mzigo huo.
Ila jamani hii inchi itakuwa ya marais. Marais wa3?!! Khaaa!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hiyo rasimu ya Katiba,ni nzuri sana,tunapaswa waTZ wote wanyonge wa nchi hii tumpongeze jaji Warioba na timu yake kwa ujasiri wao mkubwa kwa kuja na rasimu,ambayo ni kinyume cha matakwa ya watawala.
Si mmemsikia Kinana ametamka hadharani kuwa wao CCM hawaiungi mkono rasimu hiyo,hadi wameitisha kikao cha dharula cha CC yao,ambacho kitakutana siku ya Jumatatu.
Lakini waliopigwa na bumbuazi zaidi,ni wale waliokuwa wanausaka urais wa Muungano,kwa udi na uvumba.
Kwa kuwa kwa rasimu hiyo ilivyo hivi sasa ambapo,tutakuwa na Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania bara,aka Tanganyika,maana yake ni kuwa marais watakaokuwa na nguvu zaidi ni Rais wa Zanzibar na yule mwenzake wa Tanganyika.
Kwa kuwa rasilimali zote za nchi,kama vile gesi,mafuta,madini ya aina mbali mbali,rasilimali hizo,zitakuwa kwenye wizara za serikali za Zanzibar na Tanganyika,kwa maana hiyo wale.wagombea,waliokuwa wameanza kumwaga mabilioni yao wakiamini mabilioni hayo yatarudi,mara tu wsingiapo Ikulu,kwa namna watakavyofisadi radilimali zetu, wagombea wa design hiyo wajihesabu tu wameliwa,kwa kuwa Rais wa Muungano,baada ya 2015,atakuwa hana tofauti yoyote na malkia Elizabeth wa UK,ambapo nafasi yake ni ceremonial post,mtendaji mkuu wa serilali ya Uingereza ni David Cameron.
Vivyo hivyo ndivyo itakavyotokea kwa TZ,ambapo Urais wa Muungano,utakuwa ceremonial post,nafasi za utendaji na ulaji,zitakuwa ni zile za urais wa Zenj na Bara!!
Kuwarudisha MaDC na MaRC kama wateule wa Rais hili sikubaliani nalo kamwe.Wanakula tu kodi bure bila ya kuwa na faida yoyote kwetu ni wakati wa kuwa-get rid of all dead-woods in the government system to make it more efficient and productive for God'sake.
Fanyeni mfanyavyo,bila ya mamlaka kamili ya z'br no muungano.
upo sawa ingawa watakubishia si unajua hapa jf watu hawapendi ukwelihiyo rasimu ya katiba,ni nzuri sana,tunapaswa watz wote wanyonge wa nchi hii tumpongeze jaji warioba na timu yake kwa ujasiri wao mkubwa kwa kuja na rasimu,ambayo ni kinyume cha matakwa ya watawala.
Si mmemsikia kinana ametamka hadharani kuwa wao ccm hawaiungi mkono rasimu hiyo,hadi wameitisha kikao cha dharula cha cc yao,ambacho kitakutana siku ya jumatatu.
Lakini waliopigwa na bumbuazi zaidi,ni wale waliokuwa wanausaka urais wa muungano,kwa udi na uvumba.
Kwa kuwa kwa rasimu hiyo ilivyo hivi sasa ambapo,tutakuwa na rais wa zanzibar na rais wa tanzania bara,aka tanganyika,maana yake ni kuwa marais watakaokuwa na nguvu zaidi ni rais wa zanzibar na yule mwenzake wa tanganyika.
Kwa kuwa rasilimali zote za nchi,kama vile gesi,mafuta,madini ya aina mbali mbali,rasilimali hizo,zitakuwa kwenye wizara za serikali za zanzibar na tanganyika,kwa maana hiyo wale.wagombea,waliokuwa wameanza kumwaga mabilioni yao wakiamini mabilioni hayo yatarudi,mara tu wsingiapo ikulu,kwa namna watakavyofisadi radilimali zetu, wagombea wa design hiyo wajihesabu tu wameliwa,kwa kuwa rais wa muungano,baada ya 2015,atakuwa hana tofauti yoyote na malkia elizabeth wa uk,ambapo nafasi yake ni ceremonial post,mtendaji mkuu wa serilali ya uingereza ni david cameron.
Vivyo hivyo ndivyo itakavyotokea kwa tz,ambapo urais wa muungano,utakuwa ceremonial post,nafasi za utendaji na ulaji,zitakuwa ni zile za urais wa zenj na bara!!
Ni kweli kabisaaaa! sio wengi ambao wameisoma, badala yake wanatoa maoni kwa uchambuzi wa akina https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/464580-sumaye-apinga-serikali-tatu.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...i-wata-itamani-irudi-na-haitarudi-ng%93o.html
Kwani mkuu si ulisikia benki kuu ya uswisi mwaka jana ilipotangaza kuwa vigogo 6 wa serikali ya CCM, wamewekewa dola milioni 197, kwenye nchi hiyo, na makampuni yanayochimba gesi na mafuta hapa nchini?Nadhani haya ni maoni yako, kwani Prof Kabudi hakusema hivyo. Alichosema ni kwamba Serikali ya shirikisho itasimamia zile wizara saba zinazohusiana na mambo ya Muungano, ila mambo yasiyo ya muungano yatasimamiwa na individual governments zilizo katika shirika. Ukiangalia utaona hizo wizara saba zote ni zile muhimu. Rais wa Muungano ni kiongozi wa NCHI na kiongozi wa SERIKALI ya JMT, na ni Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya JMT. Ndiye mteuzi wa Jaji Mkuu. Sasa power zote hizo bado unasema urais wa shirikisho ni ceremonial post?