Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,083
Watu wanaumizwa Sana Maisha haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahkosa ulilofanya hukudai risiti
Kweli kabisa mkuu hata mimi imenitokea hiyo.mwanamke wa sasa sio wa kumuwekea dhamana ya maisha yako.atakuacha kwa dharau juuMCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI... MCHUMBA HASOMESHWI.
Wanawake wana akili Kama za kuku, hata ungemkuta akiwa analala chumba kimoja cha mbavu za mbwa na kaka zake watano, ukamwonea huruma, ukampenda na kumtoa kwa kumpeleka shule, likijitokeza jamaa linajua kuimbisha anasahau mema yako yote. Kama unaamua kusomesha aende akiwa na mimba kabisa au akiwa ameshazaa.
Pole sana Palesa.. It's never too late. That woman asingeweza kuwa wife material. Shukuru Mungu yote ya kwamba amekuonesha mapema maana la sivyo ungeweka ndani ka wife then anapata mimba nje au unamfumania. Nikupongeze kwanza kwamba God has blessed you with money. Really, it's not easy kusomesha mtu level ya University.. Natambua una imani yako.., embu mtangulize Mungu kwa hili, omba akupe hekima na akuongoze kukupa mchumba mwema then awe wife. Achana naye huyo malipo hapa hapa duniani.
Mkuu, hata kama mahakama wakikubali hiyo kesi, mwisho wa siku jamaa atakuja kudaiwa RISITI za malipo aliyofanya kwa huyo binti na yeye hana....hatimaye kesi itafutwa kwa kukosa ushahidi. Mkuu hii issue aachane nayo itakuja kumuumiza kichwa bure.Alafu kiukweli kweli hapo kwenye kumdai hizo hela mahakamani angepotezea tu kabla hajajiumiza mwenyewe, ebu imajin unamdai hizo hela alafu jamaa wake wa sasa anakuja kuzitoa zote kwako tena kash, itauma sana!!
Mkuu, hata kama mahakama wakikubali hiyo kesi, mwisho wa siku jamaa atakuja kudaiwa RISITI za malipo aliyofanya kwa huyo binti na yeye hana....hatimaye kesi itafutwa kwa kukosa ushahidi. Mkuu hii issue aachane nayo itakuja kumuumiza kichwa bure.
Nipe nafasi huyo aliyepigwa kibuti maana wafu wanawazika wafu waohahahaha mapenzi bana ni sheydaah tupu, hapa home kwangu kuna binti ambae ni rafiki wa mke wangu kaja kusalimia, kapigwa kibuti na mchumba wake aliekuwa amemwahidi kumuoa but kamgeuzia gia angani na kuoa binti mwingne, sasa huyu shem tangu jana analia tu na kuzimia kla akimkumbuka huyo mwenzeke tumempeleka hospital kapima presha iko juu. kazi kweli kweli
Hahaha Kweli mkuuMtu masikini si mtu wa kumwamini hata kidogo