Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

Serikali iwasaidie hawa Vijana ajira wanatunga uongo hawaunyooshi inakua tabu kweli
 
Kwa akili hizi chadema hamtokaa mpate wa kumuingiza barabarani na mabango
 
Inakera kujua majibu halafu watu hawakuulizi kitu

👆hii tabia inafanya vijana kila wanachofanya wanataka Jamii nzima ijue..

#BlameSociety
 
Wakuu kwema?

Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her.

Leo nimemtafuna tayari.

Asanteni
Ugua marukanga nayo atakutibu upone
 
Wakuu kwema?

Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her.

Leo nimemtafuna tayari.

Asanteni
Kama umejitibu mwenyewe ina maana umejikaza. Maana wewe ndio daktari na wewe ndio mwenye gono. Umejila du.
 
Back
Top Bottom