ntundaga
Senior Member
- Sep 13, 2018
- 143
- 213
Katika utafutaji wangu nmejikuta nikienda kwa waganga mara kadhaa.
Kuna mganga mmoja niliona amenisaidia jambo fulani nikatokea kumwamini. Kwa miezi mitatu mfululizo biashara zangu zilikua haziendi vizuri sana nikajikuta nmeingia katika madeni niliyoshindwa kuyalipa kwa wakati.
Kuna mdeni wangu mmoja ni mtata sana, alifanya nikaishi bila amani ndipo nikawaza kwenda kushitaki kwa mganga.
Mganga alinielewa na kuahidi kunisaidia, mganga alinipa laki mbili akanambia uyo mtu anakudai pesa nyingi ila peleka hii pesa na ataikataa, akikataa tu kuipokea hatokudai tena ilo Deni kesi itakua imeisha.
Kweli niliondoka na laki mbili ya mganga mpaka kwa mdeni wangu na kweli alichukua pesa akahesabu akanirudishia kwa kuikataa.
Nilifurahi mana mambo yalienda kama alivosema mtaalam. Sasa nilitakiwa kurudisha laki mbili ya mganga alonipa na elfu hamsini kama gharama ya huduma, wakati natafuta elfu hamsini ya mganga nmejikuta nmetumia na laki mbili yake, mambo yangu yanazidi kuwa magumu sijui nifanye nini na mganga Wala hanitafuti kunidai