Nimemtazama Chama leo Manungu, ni kweli amebaki jina tu!

Watu kama nyie ndio mliosababisha Luc Eymael akawaita Manyani. . Mechi Moja tena kwenye majaruba ya mpunga umtathmin mchezaji? Wewe jamaa yawezekana ni mke mwenza na Manara.
 
Kakaza mishipa.[emoji23][emoji23]
Kaa kimya we shoga hujui mpira ,ungekuwa unajua mpira hukupaswa kumjudge chama kwa game ya leo ,wewe ndiye ulipaswa kurelax usubir hata game tatu toka kwake ndipo uje na uchambuz wako .Narudia tuliza makalio ww choko
 
Kaa kimya we shoga hujui mpira ,ungekuwa unajua mpira hukupaswa kumjudge chama kwa game ya leo ,wewe ndiye ulipaswa kurelax usubir hata game tatu toka kwake ndipo uje na uchambuz wako .Narudia tuliza makalio ww choko
imekuingia vizuri tulia icheue sasa
 
3. Huu ndo mpira wake toka apate ufather Simba.

Akikutana na Yanga, humuoni jamaa akijituma kiviiile sababu anajiona sio level za kucheza nao.

Akicheza na timu kubwa za nje anajitahidi mno kuficha makucha yake. Hii inadhihirisha kuwa amejiona ni father ndani ya Bongoland, so ubora wake ni bora akauonesha huko nje na sio ndani tena.

Hapo ndipo alipokea, ila yote ya yote, sikuona umuhimu wa chama kurud Simba, walau wangepata mtu kama Carlos Carlinhos na zile pasi zake angeweza wasaidia.
 
Unaona mbali sana Mkuu.

Kongole. [emoji122][emoji122]
 
Ni wivu tu chama kacheza sana leo
 
Unateeka ukiwa wapi mtani? Unaweza mpima mchezaji kwenye lile Dimbwi?
 
Mtajuana wenyewe na Chama wenu, la msingi matokeo yawe ya kudroo ama kufungwa.
 
Wewe Mwenzetu uliangalia Mechi Gani? Tulio angalia Sisi, Timu ilitulia na kuanza kushambulia baada ya Chama Kuingia. Kifupi hii Combination ikipewa muda ni Nzuri sanaaa, Sakho, Chama, Morrison akina Kagere wataanza Kufunga.

Ngoja Tusubiri Tarehe 26.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…