Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

IVF will be useful, you can try it..................................
 

u r Jezeber daughter. aren't u?
 

Si ushasema mwenzio ni mtu wa dini? Maana yake anamuogopa na kumuheshimu Mungu wake ndiyo maana anakataa kutenda hayo unayomshawishi kuyafanya.
Nakushauri, kama kweli unampenda, vumilia. Tumeona wengi wamefikia hata hatua ya kuoana ingawa hawana uhakika wa mtoto. Mapenzi hayaangaliii kuwahi au kuchelewa kupata watoto. Kuwa mkweli na mwaminifu kwa mwenzio, acha tamaa!
 

Mtoto anaogopesha mara nyingine na mpenzi wako si mchaga lazima mahesabu ya fedha ya balance ndo akubali hayo mengine
 

Basi baada ya kukutana kesho kule british council ntakupa usijali.
Lakini kumbuka tu kwamba kuzaaa na mtu sio guarantee kwamba
ndo mtaoana.
Kuna mtu aliwahi nitega hivo,lakini sikuwahi m-consider kama
someone who can be a wife,.....be careful usije lea mtoto peke yako.
 
Pole sana sana umebakiza kiduchu umalizie mambo halafu unakata tamaa namna hiyo pls uwe muvumilivu dada. Usije ukapata mimba ikaingia na virus ikawa imekula kwako
 
smile! usiharakishe mambo wewe acha mpaka yeye aamue mwenyewe kwasababu itakucost baadae! na kingine ishi maisha yako usimuige mtu, kwani usikute kuna best yako kazaa na ww unataka kuzaa, acha iyo mambo funguka kabisa hapo smile!
 
Everything happens for a reason!! Lazima kuna sababu nyingine tofauti na hiyo uliyosema, hujafunguka vizuri Smile.
 
yaani hata kama ni kwenda kwake anahakikisha ndugu zake wapo.inakuwa ngumu ningembaka

hahahahaha we kweli umedhamilia kupigwa nao, hayo mazari sijui kwanini huwa hayawatokei watoto wa mbwa kama sisi..any way mtoe out kama hotel kambakie huko...
 
Huyo jamaa mlokole nini?Au kuna jambo anaficha,labda anafamilia nyingine ndo maana anaogopa kuongeza mzingo ya kukupa mimba.Anyway kama wataka mtoto tu mimi sasa hivi nipo India nitaenda hosp kutoa mbegu zangu alafu nitakuletea upandikize kama ngombe then upate mtoto sasa dada SMILE eeee?
 
Subira ya vuta heri bibie, haraka haraka utakosa mwana mama.Pia kumbuka ndoa si lazima mpate mtoto. Mtoto ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Unaweza ukapata hiyo ndoa na mtoto usimpate.
 
Dada Smile how luck Lad are u? unabahati amabyo wako wasichana kama 10000 lkn mwenye bahati kama yk ni kama 2 tu, nakuhakikishia kuwa huyo ndiye mume mwema, neno linasema mke mwema nani atakaye mwona ni mali adimu mke mwma yu wapi, ss ugeuze nakusema mume mwema yu wapi? wapo waliokaa miaka 3 kwenye uchumba bila ya kukutana na wake au waume zao mpaka ndoa, hawakujua wenzi wao kichwani wana waza nini na haraka wala kushawishiana kufanya hivyo, sikiliza dada, slice ya mkate ikipakwa jam na batter inatamanisha lkn ukiila tu bado utasikia unataka tena, lkn kama ukiamua kuvumila kwa muda ukapata kama slices kumi zimeandaliwa vizuri, nakuambia utafurahi sana, pia elewa ukikubali kupakuwa chakula hakija iva kinaweza leta madhara ya kuendesha bodaboda maliwatoni, lkn ukingoja kiive utafurahia kula mezani, na pia elewa kuwa, mwanaume akisha jua ulivyo basi ataamua kwenda kumtafuta mwingine, nakukuacha kwani hana sheria ya ndoa yakumfunga, nakwakufanya hivyoutabaki kumpakata mtoto lkn matumizi yatakuwa shida, naomba toka moyoni mwangu kama mdogo wangu au mwanangu Smiles isubiri sana ndoa yako na usiwape nafasi maadui wa nyumba yako iliyopambwa kwa maua mazuri, usiwape watu kukuzodoa kuwa ulikuwa cd kumbe ulikuwa mwana mwema mwororo kwa mume wake,
Wish yu.
 
ubarikiwe sana mkuu😛oa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…