Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole AshaDii umetoa mguno tena watu wanafunguka tu jf unajiachia tu ... mzma wewe hebu funguka na wewe!Dah!!!
mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake
tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini
nimemwambia anipe mimba hataki
sina raha kusema kweli
hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya ndoa nachepuka zangu
maisha nini bwana bila family?
sikubali heri nikose mume niwe na mtoto potelea mbali
KWANINI NILEE MTOTO WANGU UZEENI?
SASA NAFANYA NINI KIJANA,AJE TULE MAISHA

yaani hata kama ni kwenda kwake anahakikisha ndugu zake wapo.inakuwa ngumu ningembaka
ubarikiwe sana mkuu😛oaDada Smile how luck Lad are u? unabahati amabyo wako wasichana kama 10000 lkn mwenye bahati kama yk ni kama 2 tu, nakuhakikishia kuwa huyo ndiye mume mwema, neno linasema mke mwema nani atakaye mwona ni mali adimu mke mwma yu wapi, ss ugeuze nakusema mume mwema yu wapi? wapo waliokaa miaka 3 kwenye uchumba bila ya kukutana na wake au waume zao mpaka ndoa, hawakujua wenzi wao kichwani wana waza nini na haraka wala kushawishiana kufanya hivyo, sikiliza dada, slice ya mkate ikipakwa jam na batter inatamanisha lkn ukiila tu bado utasikia unataka tena, lkn kama ukiamua kuvumila kwa muda ukapata kama slices kumi zimeandaliwa vizuri, nakuambia utafurahi sana, pia elewa ukikubali kupakuwa chakula hakija iva kinaweza leta madhara ya kuendesha bodaboda maliwatoni, lkn ukingoja kiive utafurahia kula mezani, na pia elewa kuwa, mwanaume akisha jua ulivyo basi ataamua kwenda kumtafuta mwingine, nakukuacha kwani hana sheria ya ndoa yakumfunga, nakwakufanya hivyoutabaki kumpakata mtoto lkn matumizi yatakuwa shida, naomba toka moyoni mwangu kama mdogo wangu au mwanangu Smiles isubiri sana ndoa yako na usiwape nafasi maadui wa nyumba yako iliyopambwa kwa maua mazuri, usiwape watu kukuzodoa kuwa ulikuwa cd kumbe ulikuwa mwana mwema mwororo kwa mume wake,
Wish yu.