Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

Nimemtega hategeki, huyu mwanaume vipi?

yaani hata kama ni kwenda kwake anahakikisha ndugu zake wapo.inakuwa ngumu ningembaka

mkaribishe kwako siku za hatari, akifika mtege mpaka lengo lako litimie, au hamjawahi kuoneshana makalio
 
anakuja mida kuna watu ni mjanja kweli bwana mi nasepa zangu
Smile ulivyo mzuri ID na aveter yako naiomba mimi hiyo nafasi,mimba ni ndani ya siku moja tu,zingine itakuwa ni matengenezo ya njia,kama vp ni PM tu
 
mchumba wangu ni mtu wa dini sana pamoja na familia yake
tuna mpango wa kuoana mwaka huu ila sijui lini
nimemwambia anipe mimba hataki
sina raha kusema kweli
hadi mwezi wa tatu ajanipa tareh ya ndoa nachepuka zangu
maisha nini bwana bila family?
sikubali heri nikose mume niwe na mtoto potelea mbali
KWANINI NILEE MTOTO WANGU UZEENI?
SASA NAFANYA NINI KIJANA,AJE TULE MAISHA

Smile,naeza sema tu,you are lucky!.get hold of yourself and Mungu akutangulie.
 
Back
Top Bottom