ila wake zetu nao wawe wanawaambia nguo gani za kuvaa chumbani na zipi za kuvaa kwenye sehemu zingineHuyo ndio baba mwenye nyumba mkuu! Amejishushia heshima sana kwa huyo dada wa kazi. Pili, kama ulivyosema hapo juu, amemsababishia kosa lingine dada wa watu kusema uongo kwa mkewe...
ila wake zetu nao wawe wanawaambia nguo gani za kuvaa chumbani na zipi za kuvaa kwenye sehemu zingine
Usimdukue huyo binti aiseee badala yake katafute nje km si kuendelea kudukuana Na mkeoila wake zetu nao wawe wanawaambia nguo gani za kuvaa chumbani na zipi za kuvaa kwenye sehemu zingine
hilo ni la msingi sana natafuta muda muafaka wa kumuomba msamaha
hapana sasa nitakuwa na sura ya kazi tu kwanza ni kumuomba msamaha na kurudisha heshima yangu kama babaNdg.yangu tunza maneno yangu"hutoishia hapo"kama story hii ni ya kweli.Ibilisi Wa mtu ni mtu mwenyewe.
kua huyaone kuna wadada wakazi ni changamoto kuishi nao nyumba mojaPumbavu sana wewe,ndo mana miujiza haishuki kanisani..dhambi za makusudi hazisamehewi eti theluji,unyanyasaji kazini kwa watoto wa kike...
Ficha upumbavu wako ndugu tena unae mke huoni aibu!wewe ni jipu kwa mkeohapana sasa nitakuwa na sura ya kazi tu kwanza ni kumuomba msamaha na kurudisha heshima yangu kama baba
kua huyaone kuna wadada wakazi ni changamoto kuishi nao nyumba moja
Kama alimudu mtekenya...hashindwi tuonyesha picha yakeeti kiuno cha nyigu, mkuu tamaa zako usimsingizie Shetani,
Nimeshangazwa sana Na huyu mwanaume darisalamaKama alimudu mtekenya...hashindu tuonyesha picha yake
Kupiga picha si dhambi
@teampicha [emoji328]
Kuna mengine hata huyo shetani anasingizia wanaadamu kwa jinsi tulivyokuwa vinara wa maasi.Skuizi shetani amekua wa kusingizia kila jambo aiseeee....[emoji15]
Ebu ngoja waje hao akina mama yoyoo niskie watasema nini
Wamaanishaa alimwambia padri alivyotenda ndio apate tubishwa au samehewa?!hapana hiyo wanayo RC wanaita kuungama mbele ya padri sisi kkkt hatuitaji hiyo ni wewe na Mungu wako
Udhalilishaji wa kijinsia.
Matumizi mabaya ya madaraka.
Kukosa uaminifu katika ndoa.
Kuharibu mawazo ya mwanamke asiye mkeo.
Kumuingilia mfanyakazi katika sehemu yake ya kazi.
Kula njama ya kumficha mkeo ukweli.
Kutubu kinafiki kwa mungu wakati uliyemkosea hujatubu kwake.
Kutoa siri za nyumbani JF.
Kutangazisha ubaradhuli JF.
Kumsingizia shetani ashiki zako mwenyewe.
Makosa yote hayo unayo.