Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

nilirudi naimba mapambio ya kanisani lakini sina amani nikijua labda dada kavujisha siri ila mpaka sasa kimyaa
Hahaha endeleza mapambio siku yakikata tu ujue atakutekenya na yeye uwe tayari wakati wowote unaofaa na usiofaa!!
 
nimejikuta nacheka sana na nukuu za ujumbe wako, jamani huyo DR, HAMJUI KUWA ALIKUWA ANAnigerezea mimi Da resalaan? mimi nilimlipoti kwa mwalimu ila mwalimu akamuacha kisa alijulikana chuo kuwa ni ccm.
huyu DK ni janga kaacha historia
 
Nyie ndio mnafanya madada wa kazi wasiaminike majumbani humo kwasababu ya uzinzi wenu

Ila mkuu Kiranga kasema yote

Hufai mkuu
 
Nyie ndio mnafanya madada wa kazi wasiaminike majumbani humo kwasababu ya uzinzi wenu

Ila mkuu Kiranga kasema yote

Hufai mkuu
dada wa kazi wengine ukiwakaribisha ndani ni sawa na kuletewa mtihani wa hisabati ni lazima utafeli tu jamani wana makusudi sana hasa kama wanabanwa na baba mwenye nyumba ni kijana mdogo
 
Uwa najiuliza sana kabla shetani hajawa shetani na kutupwa duniani alikuwa malaika huku mbinguni na hivyo hakukuwa na shetani kabla yake, sasa nani alimshawishi huyu malaika mpk akawa shetani? ? Nafsi na mioyo yetu ndio chanzo cha dhambi mara nyingi na sio kumsingizia shetani kila kitu

Shetani na mungu hawapo.

Tumewatunga ili tuwasingizie mambo tu yakitushinda.
 
kuanzia sasa utakuwa unamuangalia kwa huba maana akili yako imemhifadhi kwenye medula oblangata
 
jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama yoyoo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenye kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake nikasikia mamaaaaa,mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia ,mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu,shetani huyu jamani
uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji
Da imebid nfurahi tu ila kama umetubu naamin uyo shetani atokusogelea tena
 
zigo la maana hatari sana
Hebu fanya mpango wapicha kisha shekhe kipozeo auone na kutoa comment zake hatari sana shekhee eeh!

Namnukuu

"Hata ingekuwa wewe shekhee lazima ungetekenya kidogo zigo, ili uone zigo linavyo vaibreti....shekhe hatari saana shekhe"

Mwisho wa kumnukuu
 
Back
Top Bottom