Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

Napata picha huyo dada wa kazi ni "zigo remix" duu
Vitabu vya dini vinatahadharisha juu ya umuhimu Wa kutoikaribia zinaa! Jamaa anathubutu! Neno LA mungu hakijaribiwi ! Kupona kwake amtoe huyo binti machoni pake haraka! Vinginevyo kumtekenya binti ni kumwarifu kuwa unahtaj hiyo huduma.na yeye anahisia na hata matamanio kama mkeo.
 
Ni kweli mkuu,,,picha ndo lishaanza vile na sidhani km litaishia kwenye hyo episode ya kutekenya
 
Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu,nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night dress alikuwa anapiga deki na lile umbo lake la kiuno cha nyigu nikajikuta nimemtekenya kwa kumbinya na vidole vyangu kulia na kushoto kwenye nyonga yake.

Nikasikia mamaaaaa, mama yoyooo akatoka mbio anauliza vipi kunani mimi nilishafika nje nasikilizia,mara dada wa kazi akasema hamna kitu nilitaka kuteleza kwenye sakafu,shetani huyu jamani uzuri nilipofika kanisani nimetubu na dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama theluji.
Moja kati ya kazi ya mabeki 3 ni pamoja na kumsaidia mama kwenye kupumnguzia mawazo mzee ya kupumua. Kama yuko vizuri, pita nae.
 
Inauma sana House girl unamtunza wewe...nyamanyama zinamtoka kwa misosi unayogharamia wewe....alafu anaenda kuliwa na Mangi wa kibandani. anatafuna maini safii kiulaini kabisa hata jasho hajatoa..... Inauma.

Dawa yake ni wewe mwenyewe kumgegeda, badala ya Mangi kumtafuna.
 
Back
Top Bottom