Nimemtekenya dada wa kazi kapiga ukelele mpaka mama yoyoo katoka chumbani mbio

Tunangoja thread nyingine ya kuomba ushauri wife anataka kuondoka baada ya wewe kumgegeda housegirl
 
Mkuu hivi wanasayansi wana msamiati wa dhambi au makosa ya kimaadili...kwenye makamusi yao.

Nauliza tu.
Dhambi ni nini?

Makosa ya kimaadili yapo. Ndiyo mana kazi kama udaktari zina maadili yake, viapo vyake na adhabu zake ukikosea maadili yake.
 
Tupe mrejesho baada ya kurudi home kiuno nyigu alizdmaje au amekutazamaje au ulimwambiaje na mama yeyooo je?! Hajakuadithia HG leo ameteleza wakati anapiga deki?!

Feedback please!![emoji102] [emoji101]
 
iko siku Mungu atakua upande wa shetani na atamtetea maana mmezidi!!
 
"...dhambi zangu zimesamehewa na kuwa nyeupe kama kama theluji" mh....
 
Mwanaume kama una mdada wa kazi "mkali"nyumbani kwako halafu kila siku unajikaza kwa kumtolea mimacho tu badala ya "kula mzigo"..we ni jipu.
Aiseee...imeandikwa Usiikurubie Dhinaa Ila Kwa Dharura.
 
Uwa najiuliza sana kabla shetani hajawa shetani na kutupwa duniani alikuwa malaika huku mbinguni na hivyo hakukuwa na shetani kabla yake, sasa nani alimshawishi huyu malaika mpk akawa shetani? ? Nafsi na mioyo yetu ndio chanzo cha dhambi mara nyingi na sio kumsingizia shetani kila kitu
 
Kwni nani anasamehe dhambi?amekwambia kuwa ameshakusamehe?
 
nimejikuta nacheka sana na nukuu za ujumbe wako, jamani huyo DR, HAMJUI KUWA ALIKUWA ANAnigerezea mimi Da resalaan? mimi nilimlipoti kwa mwalimu ila mwalimu akamuacha kisa alijulikana chuo kuwa ni ccm.
 
ungehakikisha mkuu kama kweli zmekuwa kama theluji maana zku hzi bwana hadi wachungaji ni waongo
 
Tupe mrejesho baada ya kurudi home kiuno nyigu alizdmaje au amekutazamaje au ulimwambiaje na mama yeyooo je?! Hajakuadithia HG leo ameteleza wakati anapiga deki?!

Feedback please!![emoji102] [emoji101]
nilirudi naimba mapambio ya kanisani lakini sina amani nikijua labda dada kavujisha siri ila mpaka sasa kimyaa
 
Umenichekesha the way ulivyo narrate! Japo si kitu kizuri ulichofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…